Siasa kama hizi zitatufikisha wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa kama hizi zitatufikisha wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by combra, Jun 13, 2012.

 1. combra

  combra Senior Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  CHADEMA walifanya mkutano jangwani, CCM na wakajibu mapigo, CHADEMA wakaanzisha operation ya "vua gamba vaa gwanda" CCM nao wakaja na yakwao "vua gwanda vaa uzalendo"Je watanzania kwa siasa kama hivi za majibishano zitatufikisha wapi?

  Badala ya kukaachini na kufikiria maendeleo ya nchi. Uamuzi ni wetu kuzishabikia au kuachana nazo.Tafakari chukua hatua!
   
Loading...