Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

Calipso

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
284
15
Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari..
Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Chadema kukutana siri mara kwa mara,hizi siri mimi ndio naziogopa,chupu chupu niachane na Cuf na siasa kabisa, wakati Maalim seif na Nyerere walipokutana na halafu akakutana na salmin...
TUJUZENI WENYE TAARIFA
 
Wenye taarifa kamili Kama wapo watakuja kutoa data zao,Ila kwa sasa ziendelee tu kubaki Kama tetesi na tusizipeleke ktk hisia.Nnapita tu hapa_____
 
hatuna chama cha upinzani hapa tanzania!,wanacheza na jk hawa,atawaliza mpaka mtachoka,
 
'Watasusa weee, Watazunguka weee lakini mwishowe watarudi, mimi ndo Rais wao' .... JM Kikwete.
 
​uwanasisa si uhasama uhasama ni kwa wajinga kama wewe na mkama

Dogo nitake Radhi,sasa matusi ya nini,hizi ni tetesi hebu tuache wenye taarifa watatupa. Inaonekana Huyo MUkama na wewe hamna tofauti... kama huna hoja nyamaza usiwe kama wajinga
 
hatuna chama cha upinzani hapa tanzania!,wanacheza na jk hawa,atawaliza mpaka mtachoka,
Kwa akili yako unafikiri Mbowe kajipeleka? Kama hii habari ni ya kweli basi ujue Mbowe kaitwa, na hii ndio ishara kwamba mlipuko wa CDM unamchanganya JK.
 
Mbowe kasaliti chama chetu.Wapenzi na wadau wa chadema tumuundieni TUME huyu mtu
uuunde tume ya nini wakati hujui alichoitiwa huko ,hao ni marafiki toka enzi zile jk anaennda mziki pale billss
mie najuwa mbowe anaelekea kwenye maishi ya mzee bob m hata bungeni hawapo...
leo kub nimemuona silinde na yule mdada
 
Kuna mambo yafuatayo hapo
  1. Kuomba ushauri juu ya anini afanye akomboe jahazi ili la umasikini
  2. Kuomba kama seif na karume walivyokuwa wanakutana ili chama kisimfie yeye
  3. Wapunguze kasi ya M4C
  4. Anataka amteue Slaa kuwa mbunge
  5. Anaomba amtulize Lema asiendelee kumwaga siri za mkutano wake naye. Atamrejeshea ubunge
 
mwacheni mwenyekiti adese,hamjui maji yapo shingoni?
amejua akihangaika na mwenezi kuanza kurudisha oil chafu kwenye engine gari haitawaka hivyo ameamua kudesa ili aongezewe ilani kwani hizi anaendelea nazo vizuri
1.chuo kikuu udom
2.katiba mpya

sasa hivi anataka kudesa tena kuhusu serikali ya majimbo na bunge dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom