Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SOKON 1, Jun 9, 2012.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  My take:
  Hawa wa Chadema walikuja kwa MIGUU, uku wa CCM wakiletwa na MALORI, MAFUSO NA MABASI, Je NI KINA NANI WALIOUVAA UZALENDO?
   

  Attached Files:

 2. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  :clap2:
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  jibu linaonekana
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
  Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
  Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  unauliza sime kwa mmasai?M4C ni maneno mengine!
   
 6. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mwangu ambaye bado yuko kiunoni mwangu anajua M4C ilikamata na ndivyo ilivyo.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jamani moto huu uendelee hadi 2015. Kila mtanzania mzalendo tafadhali sana anza kuandaa ndugu zako wa karibu, marafiki wote kuwa 2015 ni mwaka wa ukombozi. Kampeni zianze sasa nyumba kwa nyumba (majirani), ndugu, watoto, kitanda kwa kitanda (wewe na mpenzi au spouse wako). Usichoke. Ninaumia uchumi uko mikononi mwa wachache ambao ni wa maswali ya wazi but hakuna hatua!!! Long Live M4C. I once loved and cherished you, the Gamba but .......
   
 8. r

  richone Senior Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ilikuwa ni lazima kuwaleta uwanjani kwa malori due to the fact that wengi wa CCM ni wazee, pili watu wa daladala walikataakuwabeba watu waliovalia sare za CCM, tatu watu wa CCm kwa sasa wamepigika pia ni wagonjwa hivyo hakukuwa na njia nyingine zaidi ya hapo. M4C walikuwawengi kuliko magamba kutokana na hali halisi ya nchi watu sasa wanataka mabadiliko
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hoja ina mashiko?
   
 10. B

  Bob G JF Bronze Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mwenye macho haambiwi Tizama M4C ni kila kitu, Tumaini la wanyonge na kimbilio la wengi haswa wazalendo na wenye uchungu na nchi yao
   
 11. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Semini kweli acheni unazi... you can fake those picture ukitaka... it depend umezipiga wakati gani.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Umati wa ccm ni robo ya ule wa M4C!maandalizi ya mkutano wa leo yamegharimu tsh500m
   
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!haina ubishi kabisa,...M4Chaina mpinzani,pamoja na magamba kusomba watu,kusambaza fedha chafu,kugawa tishert lakini bado haijafikia hata nusu ya Chadema,.....peoples power
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The competition is not fair, picture moja imechukuliwa saa saba na nyingine wakati mkutano umekolea. Ilitakiwa picha wakati mkutano umeanza na hiyo nyingine ndiyo tutoe maamuzi.
   
 15. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine CDM hamuamini kwa kusema uongo... picha za matukio ya CCM hizi hapa... angalia jaji mwenyewe.
   
 16. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Pamoja na unazi wako kwa CCM, bado leo kolamu haikufikia ile ya CDM mwezi uliopita. Unapopanga viti uwanjani, unapunguza nafasi kwa zaidi ya nusu. Hizo ni hesabu za kawaida tu kama ulipitia shule yoyote ya maana.
   
 17. s

  sheky Senior Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wingi wa waliohudhuria katika mikutano hiyo ya Jangwani ni hatua moja, ila sio msingi wa mabadiliko tunayoyataka. Muhimu ni kuendelea kuhimiza hawa wanaokwenda kwa miguu, tena wakiwa na njaa kujua kuwa wao ndio walio na hatima ya umaskini wao kupitia sanduku la kura. Picha hizi peke yake bila harakati za makusudi za kuwaelekeza watu kujiandikisha kama wapiga kura, kuwahimiza kupiga kura zenye maslahi kwa maisha yao, na kusimamia uhesabuji wa kura katika vituo vyao bado zitakuwa fancy and once loved bila mshindo wowote.
   
 18. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Once CHADEMA,always CHADEMA. Long live CHADEMA
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ccm bye bye
   
 20. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesahau futa na huo muda kwenye picha ya CCM maana saa 7 ni mapema sana. edit weka saa 11.30 jioni. Tumia photoshop au paint.
   
Loading...