Tanzania kwenye 'Global peace index 2012'

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,144
1,648
TZ inaendelea kufanya vizuri kwenye mambo ya amani pamoja na mauaji ya watu wanaoandamana kwa amani, askari kupiga raia hovyohovyo, nk. Tusubirie siku za usoni matukio za ZNZ, ushari wa akina Ponda, nk. yatatuweka wapi!

List ....

1 Iceland (Vinara)
2 Denmark
2 New Zealand
4 Canada
5 Japan
...
55 Tanzania
...
88 United States
89 China
...
98 Uganda
...
119 Rwanda
...
120 Kenya
...
127 South Africa
...
146 Nigeria
...
150 Israel
...
158 Somalia (Mkiani)

Source: Guardian
 
nafasi ya 55 tuko mbali sana, tulitakiwa tuwe at least wa kumi bora...bado tuna kazi....sasa kina ponda wasituletee za kuleta, mbona tutashika mkia sasa kama wakiendelea na mambo yao haya.
 
amani ni kitu kikubwa sana na na kina maana pana mno hakiwezi kupimwa kwa kupigana virungu mitaani..tanzania ni nchi ambayo mtu anaweza kutembea free mitaani bila uoga kama atakamatwa na polisi kama hana kosa..nchi nyingine hii hamna na watu wamekua wanafanyiziana sana
 
Back
Top Bottom