Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea...
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking...
Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia...
Salaam, Shalom!!
Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.
Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha...
Siku YANGU ya Leo imekuwa mbaya sana
Unae soma hapa usitamani kusikia rafiki yako uliyesoma nae pamoja you miongoni mwa majangili KINYONYOOO, na Sasa zama zake zimefika eiza afe kwa sumu au...
Tofauti na awamu nyingine ambazo ilizoeleka wenye maslahi mapana kwenye chama, wanaharakati huru na watu wazito walikuwa wakijitokeza zaidi kujibu mashambulizi na kuutetea muhimili zama hizi...
Watawala hawawezi jitenga na utekwaji,na walio fanyiwa Kaka na Dada kutoka Kenya na Uganda
Mauaji ya Mzee kibao
Utekwaji wa yule mchungaji wa Arusha aliyekuja kutupwa Sanya Juu
Kutekwa na...
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto...
Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka .
Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati...
Wanabodi,
Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1
angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa...
ANAITWA Daudi Issa Masasi. Ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha upinzani cha ADC akitaja vipaumbele 10 vyake endapo atapata ridhaa ya chama chake na wapiga...
Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki.
Air Tanzania ebu...
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake.
1. Anagombea Urais Chaumma
2. Atapewa...
1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku...
2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..?
3. Kwa...
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa...
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa
1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa
2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo...
Chadema Katiba imefuatwa Mbowe kanuna na kikundi kutokea Kaskazini wamehamia Chaumma
Huku CCM nako yule Polepole anadai Katiba haijafuatwa Vurugu kila kona
Hivi Siasa za Tanzania zimesimamia...