Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa...
23 Reactions
1K Replies
137K Views
TANZIA: Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni. CCM Wameandika kwenye...
6 Reactions
1K Replies
364K Views
Joseph Mungai enzi za uhai wake Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi...
10 Reactions
317 Replies
70K Views
Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
5 Reactions
13 Replies
578 Views
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa jumla ya shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi...
29 Reactions
200 Replies
14K Views
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani . MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana . Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
23 Reactions
80 Replies
3K Views
Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti . Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti . UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti. Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua...
1 Reactions
3 Replies
357 Views
Tunapomshangilia na kumzomea Balozi mstaafu wa Cuba ni lazima tujiulize Polepole ni nani hasa? Ni makosa makubwa kumzomea Polepole kama tunavyomshangilia mlugaluga Lucas Mwashambwa 😂 1980s...
6 Reactions
13 Replies
673 Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump...
0 Reactions
5 Replies
557 Views
Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote. Xi...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Sensa ya watu iliyofanywa na serikali hivi karibuni, ilibainisha kuwa, nchi yetu kwa sasa ina idadi ya watu zaidi ya milioni 60 Tuna zaidi ya miaka 20 sasa tangu baba wa Taifa letu Tanzania Mwl...
3 Reactions
16 Replies
657 Views
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Naomba orodha ya watia nia waliokataa majimboni. Mfano Gambo Arusha Makamba Bumbuli
2 Reactions
1 Replies
495 Views
Huu ndio Ukweli!!. Nchi hii Toka kuasisiwa kwake, Kwa jicho la karibu utagundua muda wote ipo kwenye Mikono ya Viongozi waandamizi wa Dola ambao Kwa Matendo yao na Imani zao wanajua kabisa kua...
5 Reactions
15 Replies
773 Views
Mh Luaga Mpina , Tangu Enzi na Enzi wewe ni MTU Haki, unaijua Haki na Kusimamia Haki. Haijawahi kutokea ulimi wako ukafurahia Maovu !!. Kama ambavyo Vyeo huja na Kupita, Ndivo ambavyo unatakiwa...
2 Reactions
2 Replies
423 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili mema, heshima, na uwezo wa kujenga hoja, ili kuimarisha...
1 Reactions
11 Replies
679 Views
Najua amepanga kuongea mengi ikiwa ni pamoja na suala la Dp World, nadhani asitumie hasira kutuadhibu. Huu ni muda wa kurelax na kuenjoy na familia yake baada ya utumishi wake ulio tukuka.
7 Reactions
24 Replies
1K Views
RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA TRA MKOA WA SIMIYU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 16.06.2025 amezindua jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa...
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Back
Top Bottom