Tupo Salama! Kwa wagonjwa na wanaopitia changamoto ngumu, Mungu awapatie ufumbuzi.
Unajua maji yakishamwagika yamemwagika. Yatazoleka lakini yakiwa na mchanga. Na hayatajaa kwa ujazo uleule...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema kwa sasa Tanzania ina matatizo makuu matatu ambayo ni Umaskini, Ajira na Upungufu wa Maadili
Dr Mwigullu amesema wengi wanadhani Upungufu wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni...
1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92.
2. Zahanati zimeongezeka kutoka...
Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani.
Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama...
Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa...
Rais, walimu ambao tunawategemea walinde kura Oktoba wanatuhumiwa kuiba Maharage, mahindi na Mchele vilivyoletwa na wanafunzi – jamani, kwa njaa hii kweli watalinda kura?
Soma pia: Walimu...
Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi (shot caller)
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.
1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka
Kipindi hiki bi kilembwe anapambania...
Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna...
Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni...
Mwanasiasa Bernard Membe anasema kuna umuhimu kwa viongozi wote kufanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua historia na taarifa zao kwa kuwa baadhi yao si Watanzania.
Huu ni mfululizo wa habari...
Salaam!
Amewakumbusha ccm kuwa Yeye Gwajima ni hazina ndani ya chama Cha mapinduzi, wamtumie vizuri.
Na alivaa tai nyekundu Leo, sasa nichukue wasaa huu kumpongeza maana tai Ile ilimpendeza...
Joto limekuwa kali zaidi hasa kwa wapinzani na wakosoaji bila kujali ni wa ndani au international, Yaani hata wale wa kwenye dini hakuna mwenye nafuu wala red line.
Tulidhani jua la Dar lilikuwa...
Bora usiwe na elimu apo nitakuelewa ila unaelimu umesoma CIVICS,G.S &D.S na bado UNATETEA uhuni wa UMINYWAJI haki uonevu kwa vyama mbadala wewe ni mjinga tu na hauna tofauti na ambae hakuenda...
Natoa tu angalizo kwa sababu Press za kila siku kutoka kwa Wanachama hazina afya kwa ustawi wa Chama
Chama kina Msemaji mkuu ambaye ni Katibu mkuu Dr Nchimbi na Msaidizi wake katika Usemaji ni...
Sijui niko sawa au laah! Lakini, Watanzania wengi wanahitaji faraja ya kiongozi anayejua maumivu wanayopitia waumini wa makanisa ya ufufuo na uzima, wanahitaji faraja, na wale wenzetu wote...
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika ambaye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo...
Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake.
Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.