Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali...
63 Reactions
117 Replies
5K Views
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai...
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari. Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi...
39 Reactions
91 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Balozi mstaafu wa Tanzania nchini Cuba ndugu na comred Humprey Polepole anatarajia kuzungumza na umma hapo kesho 17-07-2025. Sina uhakika atatumia platform gani ila jambo hili ni kubwa na...
0 Reactions
5 Replies
563 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu...
54 Reactions
276 Replies
33K Views
Haya ndiyo ya Polepole. Huyu alitesa sana watu wakati wa Magufuli. Leo anataka tuamini kuwa shetani amebadilika kuwa malaika, Awadanganywe wenzake CCM!
2 Reactions
4 Replies
250 Views
Mimi mbona kama sielewi hii nchi inavyoendeshwa! Mbona uonevu unazidi!?
0 Reactions
16 Replies
687 Views
Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
2 Reactions
6 Replies
610 Views
WaTanzania wengi sana wamejengewa fikra kwamba wanapaswa kumuona Nyerere ni kama malaika yaani hapaswi kusemwa wala kukosolewa eti kwamba tukimkosoa basi ni udini na utapata matusi,kejeli na kila...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Shauri la kupinga mashahidi kufichwa kwenye kesi ya uchochezi mbele ya Judge Elizabeth Mkwizu leo Julai 16, 2025 Shauri hilo limefunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA kuomba mapitio ya mahakama...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
11 Reactions
68 Replies
4K Views
Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Salum Bimani amezungumzia mambo mbalimbali mbele ya Wanahabari leo Julai 15, 2025, ikiwemo kuhusu uchaguzi wa Kura za Maoni kuwapata Wagombea Ubunge na...
1 Reactions
4 Replies
711 Views
Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow Tanzania. Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
12 Reactions
136 Replies
4K Views
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka...
41 Reactions
307 Replies
9K Views
Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Tunakumbushana tu iliitwa CCM ya Magufuli au Magufuli Ruling Party kama alivyoiita RC wa Mbeya by then Albert Chalamila Polepole pamoja na mapungufu yake lakini ana vitu viwili; Mosi karama ya...
17 Reactions
81 Replies
3K Views
Back
Top Bottom