Kumjibu kwa maana ya Ku balance story
Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact
Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano...
Nimeona habari bado haijawa-comfirm kama ni kweli kwamba HUMPHREY POLEPOLE KAOMBA HIFADHI SWEDEN
Nijambo ambalo linafikrisha sana leo hii polepole anaogopa kurudi Tanzania maisha yanaenda speed...
Mbunge wa Ilemela, Mwanza anayemaliza muda wake Dkt. Angelina Mabula amesema hajawahi kuingia kwenye mashindano ya fedha na mimi zaidi nafanya kazi za Jamii hakuna mahali ambapo nimeweka fedha...
Askofu Gwajima amesema kuhusu suala la utekaji hamuogopi mtu hata kama kanisa litafungw akwa miaka 100. Ameyasema hayo wakati kizungumza na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025. Amemalizia kwa...
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????
1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa...
Bunge la ulaya kwa mara nyingine tena litaijadili Tanzania Kwa mara ya pili na kuja na resolution kali saana.
Stay tuned
Updates
Wabunge wanakaribia kuanza
Kufuatia idadi kubwa ya watiania katika nafasi ya Ubunge Mkoa wa Kilimanjaro ikiwemo Wilaya ya Hai kupitia vyama mbalimbali vya siasa, Viongozi wa chama cha wazee Wilaya ya Hai wameonesha...
Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye...
Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo...
Je, CCM inaimarisha utulivu wa nchi au inaunda kisima cha upinzani mkali kwa kizazi kijacho?
Na… Je, CHADEMA ni sauti ya wananchi au ni chapa ya kisiasa inayofaidika na kukandamizwa?
Siasa ya...
Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa...
TANZIA:
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.
CCM Wameandika kwenye...
Joseph Mungai enzi za uhai wake
Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa jumla ya shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi...
Kiukweli Lissu amebarikiwa Sana kichwani .
MTU Kama Lissu hapa Tanzania wapo wachache Sana .
Ukimuangalia yule hakimu na Mwanasheria wa Serikali unaona hawa walipataje hizo Kazi .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.