Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia. Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa. Afrika kuendelea ni ngumu kama...
0 Reactions
23 Replies
684 Views
Kichwa cha Habari ndio sababu ya Bunge kutovunjwa na hii imefanywa kuepuka kuvunja Katiba kwa kuruhusu uwepo wa Mawaziri wakati Bunge limeshavunjwa kama ilivyowahi kutokea awamu fulani Epukeni...
1 Reactions
13 Replies
566 Views
Ni aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika...
22 Reactions
95 Replies
4K Views
Katika nchi zote za ukanda huu ni uganda pekee ambayo ina dalili zote za kua kinara wa uchumi, Ikumbukwe pia uganda ilipigwa BAN kutoka kwa IMF kutokana na sheria inayohusiana na mapenzi ya...
1 Reactions
1 Replies
277 Views
Ndugu zangu Watanzania, Usiku wa Deni hauchelewi kukucha, ahadi ni Deni. Kesho Asubuhi na Mapema nitashusha Uzi na andiko zito sana la kujibu Barua ya Polepole. Andiko ambalo litaitetemesha Nchi...
4 Reactions
76 Replies
2K Views
Kesho tarehe 16 yule kiongozi wa Maratusi anaweza kuwa ameachiwa. Kinachofanyika hapa ni kumuhai Mtu mmoja kabla hajavuruga hali ya hewa kiungo muhimu wa kikosi namba tano. 6th sense
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Polepole baada ya kukichafua amesema yeye hatakimbia nchi, huu unaweza kuonekana kama ujasiri mkubwa sana kwa baadhi ya watu lakini kwa wenye fikra pana hakuna ujasiri wowote kwani hakuna jambo...
0 Reactions
3 Replies
444 Views
Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Hellow! Nijuavyo, makusanyo ya ndani yanatosha pekee kulipia mishahara kulipia watumishi wa umma, pesa ya miradi mara nyingi ni mikopo na misaada. Na ukweli huu ndio sababu hata ujenzi wa...
3 Reactions
22 Replies
783 Views
Ukweli ni kuwa Adam si msomi aliyebobea kama marehem baba yake ambaye alimu yake ilisheheni kweli kweli kiasi cha kuweza ku command heshma ya juu toka kwa Mwalimu Nyerere na Mzee Ali Hassan...
3 Reactions
478 Replies
54K Views
Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu.......... Watu wa mahakama...
4 Reactions
5 Replies
628 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa...
1 Reactions
6 Replies
444 Views
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Hellow! Bandiko hili litunzwe. Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli. Utafanyika uchaguzi na CHADEMA...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
MRADI WA KUPELEKA UMEME MGODINI STANGOLD. Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa wakati wa kampeni aliarifiwa kuwa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD wana tatizo kubwa la uhaba nishati na...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia. Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
TUSIKILIZE ANALYSIS YA NGURUMO KUHUSU KUJIUZULU KWA POLEPOLE https://youtu.be/HK4ZQBXg6Xw
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Back
Top Bottom