Niliwahi kuleta uzi hapa,jinsi ilivyo ngumu kwa hawa matajili wa madawa ya kulevya na mafisadi papa kukamatika bila nguvu ya ziada kutumika.
Hii ni kwa sababu hawa jamaa wanajua sana kutumia...
Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE...
Kama ukiweza kuipata na kuisoma KATIBA YA KENYA utagundua kuwa ni moja ya KATIBA makini zinazojitosheleza kwenye kila nyanja za KITAIFA katika zama hizi.
Tatizo la Afrika Mashariki, hususan Kenya...
Bila kujali nilikuwa upande wa chama tawala au chama cha upinzani, uamuzi wa kutopiga kura nilifanya kwa sababu, kimantiki, mazingira ya uchaguzi yalishatabiri mshindi.
Katika chaguzi za 2020 na...
Wamechoka kuchangia chama chao, wamechoka kukemea ufisadi ndani ya chama chao, wamechoka kulipia ada za uanachama wao n.k
nini kinaweza kua chanzo cha uchovu huu wanachama wa chadema?
Mungu...
Kama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
Dar es Salaam. Mwili wa mwanamume umekutwa katika eneo la Makuburi, Dar es Salaam, ukiwa hauna jeraha linaloonekana, huku jitihada za kuutambua zikishindikana hadi saa tano kamili asubuhi ya leo...
Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani...
Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu
Je kwa mfumo huu wa kutoa rushwa katika Hatua ya Kura za maoni na hata kampeni kubwa,wananchi wataweza...
Inasemekana Malori na ICD zote kuhamishiwa Bandari kavu ya Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka Treni kule.
#Magu- mtanikumbuka.
Mimi kama raia wa kuzaliwa wa nchini Tanzania ninayo haki ya kuyafahamu yanayoendelea kwenye nchi yangu , naomba mwenye majibu ya maswali yangu anisaidie .
natanguliza shukrani .
Dar Es Salaam - Ni jiji lenye ofisi nyingi za uongozi wa kitaifa na East Africa commercial city
Dodoma - Ni jiji linalowekewa bajet kubwa sana ili kuhamishia ofisi za serikali huko
Arusha - Ni...
Ni kama vile ingewezekana mawakili wa Serikali nao wangeomba kuendesha kesi dhidi ya Tundu Lissu kwa kificho.
Kwenye video hii Kuna kila shaka kwamba mawakili wa serikali hawapendi sura zao...
Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;-
1. Mishahara...
Kama mada inavyosema wadau na wazalendo wa Taifa ili,nimefanya maamuzi sahihi ya kua mpelelezi binafsi wa jamii. Nchi yetu imekua na matukio ambayo kusema ukweli yamelitia doa Taifa letu .Taifa...
Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza...
A "no case to answer" submission happens when the defense argues the prosecution's evidence is too weak to prove a crime, allowing the judge to dismiss the charges and acquit the defendant without...
Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’
Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.