Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Unaweza kusema Kuwa CHADEMA wameamka kutoka usingizi wa Pono ,kwa sasa wameanza kuzinduka ,wameanza kuutambua ukweli ,wameanza kujua mbivu na mbichi.
Hii ni...
Ili kuweka kumbukumbu sahihi na kuwaeleza vizazi vyetu, jinsi tulivyokosea katika utunzaji na usimamizi wa mali na rasilimali alizotupa Mwenyezi MUNGU ni vizuri kuandika, kutunza na kuweka...
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema, kati ya jambo ambalo halipaswi kuchezewa ni Muungano ambao unatakiwa kulindwa na kila mmoja...
Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali imekamata mtu aliyekuwa anaingia na silaha, tumewakamata wengine...
Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea...
My Take
Wale wa Bandari imeuzwa wanaitwa huku waone aibu 😆 😂 👇 👇
https://www.instagram.com/p/DaLFTfECNDK/?igsh=MXR1anR4a3ZpbHF0Zw==
Mabadiliko ya ushindani wa bandari katika Afrika Mashariki...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesafiri kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya kushiriki katika mkutano mkuu kuhusu Afya nchini GhanaSource: Millardayo
Ego ya Mama Samia imezidi hata ya Magufuli ndiyo tatizo kubwa pamoja na rushwa. Magufuli alikuwa na ego za kielimu alithamini sana kwamba alikuwa kipanga lakini Mama kutokana na utamaduni wa...
Kama ishara ya kuridhishwa na kile kinachofanyika, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amemtaka Makamu Mwenyekiti wake Bw. John Heche kutia bidii zaidi kwenye kile...
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili...
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn?
Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
Kila siku katika maisha yetu ya kisiasa tunahesabu ni siku ya mapambano dhidi ya dola katili la CCM. Tunashinda katika korido za Mahakama kwa kuwa MaCCM hawataki tena kufanya siasa za hoja...
Sote tunakumbuka enzi za hayati magufuli huyu mwamba alikuwa na mbinu moja mujarabu yaani ili ajue matatizo ya wananchi wake alikuwa anapita kitaa
Lakini huyu mwenzetu mbinu anazotumia anajua...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.