Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,291
- 15,748
Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao chake cha Kwanza na Menejimenti ya Wizara hiyo,ambacho kimefanyika leo jijini Dodoma akigusia jukumu la amani na utulivu ni la kila mtanzania ambapo Naibu Waziri,Ayoub Mohamed Mahmoud amesema matumaini ya Watanzania kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni makubwa na watumishi wote wa wizara kwa ujumla wake ndio watekelezaji wa majukumu ili matarajio yaweze kufikiwa.