Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na...
3 Reactions
30 Replies
215 Views
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema kikao cha wenyeviti wa mikoa kilichofanyika Agosti 13 kilitarajiwa kuhudhuriwa na viongozi 30, lakini waliohudhuria walikuwa 15...
0 Reactions
10 Replies
193 Views
Aliripoti kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabili Mbowe mwenyekiti wa zamanii wa Chadema.
3 Reactions
2 Replies
62 Views
Baada ya serikali kufunga ushahidi leo Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
25 Reactions
50 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi. Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa...
25 Reactions
57 Replies
1K Views
Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa. RCO wa mkoa wa Mwanza...
18 Reactions
49 Replies
855 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tanzania Ukija Moto Utarudi Baridiii Mwenyewe na kwa Kutulia Kabisa . Hili ni Taifa huru na lenye Mamlaka Kamili kabisa. Tanzania siyo Koloni la Mtu na wala Haipo chini ya...
1 Reactions
7 Replies
105 Views
Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
Heche Ameshindikana. waandishi wa habari wengi wamezidiwa nguvu. Heche anajitawala utadhani yeye ndo anawahoji aha 😄 🤣 😂.. Asa tumwalike Chief odemba tuone kama ataweza kumkaba shingo heche.
0 Reactions
1 Replies
98 Views
  • Featured
Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na...
7 Reactions
67 Replies
1K Views
Muhtasari wa Kitendaji Makala hii inachambua wito wa kichungaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 13 Agosti 2026, ikilinganishwa na misingi inayosimamiwa...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Hoja Ambayo ningependa niijibu na kuitolea majibu na ufafanuzi ili Kujenga Uelewa wa Pamoja Kama Taifa na watanzania wote kwa Ujumla wake. Serikali yetu Chini ya...
1 Reactions
79 Replies
800 Views
Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa...
7 Reactions
36 Replies
983 Views
Hii ni kwa sababu, Aliyeunda Tume hiyo ni MTUHUMIWA NAMBA 1 wa Mauaji yale, hawezi kujichunguza Hata kama Majaji walioteuliwa wametoka Nje ya Tanzania, lakini Je wametoka Nchi gani na wameletwa...
33 Reactions
54 Replies
709 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika...
0 Reactions
37 Replies
215 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo Dar es Salaam kuwa hana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani kitendo cha mawakili wa serikali kushindwa kumalizia mashahidi wao 30 kwenye kesi ya Lissu inamaanisha nini?
3 Reactions
Replies
Views
UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Back
Top Bottom