Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ni kweli maneno hayo yamesemwa na Rais Samia; kama yalivyo wasilishwa na mtangazaji Salim Kikeke: Maneno yenyewe ni haya: "Nalifanyia kazi jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza...
63 Reactions
262 Replies
15K Views
Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa chuoni Mbeya, Nilichojifunza ile siku FFU ni wa kawaida sana, nguvu yao ni pale wakikutana na watu waoga wanaokimbia hovyo, wachache wanaobaki inakuwa rahisi...
4 Reactions
20 Replies
903 Views
Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam...
0 Reactions
5 Replies
644 Views
Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest. Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya...
26 Reactions
112 Replies
4K Views
Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho...
67 Reactions
538 Replies
41K Views
Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana...
6 Reactions
88 Replies
2K Views
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya, Ukarabati wa hospitali tatu (3) na Ukarabati na. umaliziaji...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo. Licha ya asilimia hizi...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
"Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Lengo lake ilikuwa nini hasa? Tulishajipanga juchukua jimbo Siku chache kabla ya kipyenga akasema anagombea nasi tukaghairi Siku ya mwisho ya kurudisha fomu anasema hagombei tena Hii kitaalam...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Salaam! Sasa naanza kupata picha ya kwanini nguvu kubwa ilitumika kuzuia CHADEMA kufanya mikutano yao kuwashawishi wananchi kuunga hoja ya no Reforms no Election, Siasa ni mchezo wa wazi...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
Ulaji upo! Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha; Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala? Ukijibu...
0 Reactions
8 Replies
309 Views
Muktasari: Suala hilo la mwisho ndio linalozungumzwa sana katika kipindi hiki ambacho mchakato wa Katiba umekwama na hakuna dalili za kuendelea huku wanasiasa wakilalamika kuwa kuna uendeshaji...
2 Reactions
2 Replies
674 Views
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asalam aleykum waislam wenzangu. Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda. Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia...
0 Reactions
37 Replies
665 Views
Back
Top Bottom