Jana EU walikuwa na kikao kwenye bunge lao. Walijadili tawala za kidikteta hapa Africa.
Kwa upande wa Tanzania, kumbe Mwigulu Nchemba alidanganya Taifa kuwa Tanzania tutajighalamikia uchaguzi...
Team
Kanukuu mambo mengi
Amani ya nchi
Usalama wa nchi
Kuwekeza ktk raslimali watu
Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele
Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini...
Hii ilipitishwa pale Ndanda baada ya Shujaa Magufuli kumuuliza Cecil Mwambe imekuwaje yuko Chadema ilhali muonekano wake ni wa kiccm kabisa
Cecil Mwambe huku akilia machozi alielezea jinsi...
My Take
Kutokana na hulka ya ubinafsi na wivu wa kipuuzi wa mtu mweusi ndio maana Yuko tayari kumfaidisha Mchina ,Mhindi au Mwarabu at the expense ya mweusi mwenzie...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu...
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA...
Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025?
Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050?
Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa nchini vyenye kushiriki uchaguzi mkuu kuwa na ilani za uchaguzi zenye kuakisi malengo na...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma...
Tunasoma katika Mithali 29:18 "Pasipo maono, watu huacha kujizuia" Huu ni ukweli usiopingika linapokuja swala la maendeleo ya mtu mmoja mmoja au taifa kwa ujumla.
Eneo moja lililotughalimu kama...
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma...
Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo.
1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious...
Katika siasa, maneno ni silaha kubwa. Vyama vya upinzani hujenga matumaini, huahidi mabadiliko, na hujenga taswira ya "nchi ya ahadi", mahali ambapo kila mwananchi atafaidi matunda ya uhuru...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo...
Waziri Kitila Mkumbo amesema kuwa ifikapo 2050, Mtanzania atakuwa anaishi wastani wa miaka 75 kwa afya na furaha, ikilinganishwa na miaka 68 ya sasa. Aidha, amesema watoto wa kike na wa kiume...
Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu...
Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Rostam Azizi, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo ya uchumi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta ya kifedha ili kuhakikisha wafanyabiashara wa Kitanzania wanapata...
Naendelea kusoma Dira ya Taifa ya 2050 ambayo inazinduliwa leo. Jambo moja la msingi ni wapi tunapata hela za kutekeleza yaliyomo kwenye dira. Dira imeelezea masuala ya kodi na moja ya matarajio...
Hii ni taarifa kwa mujibu wa Hilder Newton huko x akidai duru zinasema hivyo.
Kwa mtazamo wangu, kama madai haya yatakuwa na ukweli, basi huenda lengo litakuwa kujaribu kuzima anachotaka kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.