Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa amewataka walimu mikoa ya nyanda za juu kusini kuweka mkazo katika kuwafundisha watoto kuyatunza na kulinda Maadili ya kitanzania badala ya kuendekeza...
0 Reactions
5 Replies
294 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Tupo hapa Dodoma na wastaafu mbalimbali wa CHADEMA Sijamuona hata mmoja ambaye huwa anajumuika na mwenyekiti wao Tundu Lissu pale Kisutu Sema hapa kuna posho 🐼
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Serikali kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 imepanga kuongeza umri wa wastani wa kuishi kwa Watanzania kutoka miaka 68 ya sasa hadi kufikia miaka 75. Lengo hilo linatokana na mikakati ya...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Kwamba miaka 25 ijayo ndiyo tutaweza kuwa low middle income country, ndiyo tutaweza kujilisha, yaani miaka 25 ndiyo tuanze kuwa China ilipokuwa miaka ya 70? Mambo mengi hiyo dira yanaweza...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Taarifa za CCM Mkoa wa Simiyu kuwa kuna wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Kisesa waliochukua fomu na Wagombea 13 jimbo la Meatu zimeibua sintofahamu kubwa na baadhi ya wanachama kudai kuwa wagombea...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in...
-1 Reactions
145 Replies
3K Views
Humphrey Polepole na Bashiru Ali hawa ni WanaCCM walioibuliwa na Hayati John Pombe Magufuli!! Hawana historia yoyote ya kuwahi kuwa na mapenzi na CCM hapo kabla ya kuibuliwa na Magufuli...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba majawabu kutoka kwenu wabobezi Simply nauliza Dira ni nini? Nimekaa pale 🐼🙏
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Nimezaliwa na kukuwa Arusha. Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu. Naona Makonda kama mvamizi tu. Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika. Haiwezekani mwenyekiti wa chama...
39 Reactions
139 Replies
9K Views
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana. Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Salaam ndugu, Moyo wa mtu ni kichaka, Na duniani hapa, wanadamu wote hutenda DHAMBI, toba ndio kitu pekee Cha kuharakisha kufanya ikitokea umeteleza. Ninaona unajaribu Kurudisha watu warudi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Mkuu anayemaliza muda wake, Mh Kasimu Majaliwa, siku aliyotangaza kutogombea tena Ubunge wa Ruangwa, aliongea kwa msisitizo na kwa kurudiarudia mara kadhaa, kwamba anataka mrithi wake awe...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia. Itisha press, uongee na Taifa...
55 Reactions
147 Replies
6K Views
Nimeuzulia mazishi ya Mke wa Mrisho Mpoto, yeye anijui, Mimi simjui na Wala sio rafiki yangu ila mie namwita mjomba kwa sababu ya nyimbo zake za kale. Sijapenda kwa umbea nimeenda kwa sababu ni...
18 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom