Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo.
Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa wanaanza sasa kuhamishana vitengo, mchezo ndio upo hivi inamaana wanachukua asilimia nyingi sana sema ni kiini macho tu ionekane zimefika kwenye miradi kumbe wamezikwapua mlango wa nyuma.
Kama una D mbili utanielewa.