Wana jamvi katiba mpya ielekeze huu ukomo ili viongozi wasilewe madaraka.
Viongozi wengi wanajiona wao ndio Serikali wao ndio kila kitu. Baada ya hiyo hatutakuwa na watu kibao mule ndani, toka...
Je,ajali ya vyombo vya majini zimeshindwa kudhibitiwa na viongozi wa kiserikali? Viongozi mko wapi wakati huu boti mbili;moja ya maiti na nyingine ya wahanga zikielekea bandari ya Zanzibar? Maiti...
Mfanyakazi mwenzetu Gerald Ngedabanga amekamatwa na polisi wa doria waliokuwa kwenye gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili za Uingereza.
Walimsimamisha maeneo ya ufukwe wa Ocean Road...
Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba...
1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, Edward Lowasa, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey...
Anne Makinda, Job Ndugai waone jinsi Spika wa House of Commons, UK anavyotaabika kuwathibiti wabunge hadi inafika mahala mtu anashindwa kuonga na kukaa mwenyewe kwa sababu ya kuzomewa na vituko na...
Siku zaja hakutakuwa na mahakama wala mahakimu, kwani yaliyofanyika uvunguni yatawekwa juu ya paa mchana kweupe na kila mtu ataona.
Ndiyo maana sasa hivi polisi wameagizwa baada ya Rais kukaa na...
YAH; UPOTOSHAJI WA ZIARA ZA CHAMA MIKOANIToka tarehe 03/05/2012 nimekuwa na ziara kadhaa za kichama katika mikoa mbalimbali kwa lengo la kukiimarisha Chama. Baadhi ya mikoa niliyofanikiwa kufika...
Mh Raisi wa somalia ; amempatia pass ya diplomasia HAMEDI kuu wa genge la utekaji meli;
Ingawa kumpatia pass hiyo ili aachane na utekaji au motisha.
Ila inampa ulinzi wa kuto kukamatwa
SERIKALI...
Mwashungi Tahir na Zuleikha Abdulla (ZJMMC)
WAZANZIBARI wametakiwa kuitukuza lugha ya taifa lao ili kuimarisha maendeleo ya haraka nchini kama ilivyo kwa nchi nyengine.
Waziri wa Habari...
SAKATA la ubomoaji majumba ya kifahari yaliyojengwa katika fukwe za Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk Terezya Huvisa kufichua siri...
Wed, Jul 18th, 2012
Headlines / Tanzania |
It is now a reality. Tanzania will host the 29th Ordinary Session of the Assembly of Heads of State and Government in 2017.
President Jakaya Kikwete...
Kwanza inua mkono wako wa kulia ulishwe kiapo kwamba unakubali kwa yakini:
1.Kwamba sikuzote utafanya kazi ya udaktari kwa ujuzi na uwezo wako wote kwa ajili ya mema, afya na usalama wa watu wote...
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya...
Tuesday, 17 July 2012 21:39
Raymond Kaminyoge
UTEUZI wa Kadhi Mkuu na makadhi wa mikoa 14 uliofanywa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, umeibua mvutano miongoni mwa...
Hii ndo hali halisi na hapo ni kwa madaktari tu lakini sehemu zote ndo ilivyo tukianzia kwa walimu, polisi, nk. Bora hata polisi wanapanda daladala bure, Na walimu je?