Sheikh hamedi umechemka kumpa diplomatic pass; mkuu wa utekaji meli; tanzania hatuitambui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh hamedi umechemka kumpa diplomatic pass; mkuu wa utekaji meli; tanzania hatuitambui

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 18, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Mh Raisi wa somalia ; amempatia pass ya diplomasia HAMEDI kuu wa genge la utekaji meli;

  Ingawa kumpatia pass hiyo ili aachane na utekaji au motisha.

  Ila inampa ulinzi wa kuto kukamatwa

  SERIKALI KUWA MACHO
   
Loading...