Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti...
5 Reactions
15 Replies
948 Views
Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Kimsingi, Askofu Gwajima anachochea majeshi yafanye uasi, na yaache kutii viapo vyao. Nampa ushauri kwamba ajichunge sana na kauli zake, yeye ni mtu mmoja tu, hawezi kuteketeza maisha ya watu...
4 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu! Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Huwa najaribu kumwangalia sana huyu mzee wangu hasa kuhusu kupotea kwa ndugu na mdogo wangu Ben Saanane, jamaa hua reaction yake ni ndogo mno isiyofanana na wadhifa wake pamoja na kazi aliyokua...
17 Reactions
100 Replies
11K Views
Hayati Rais Magufuli alishatuambia kuwa Mama Samia ana wajomba Oman na wa Oman ni ndugu zetu
17 Reactions
85 Replies
10K Views
Hamjambo! Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI. Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya...
51 Reactions
123 Replies
7K Views
Wakati CCM ilikuwa ilikuwa imeshashikwa pabaya kiasi cha kunyimwa msaada wa dola mil 8 kutoka EU kwa kigezo cha CCM kufinya uhuru wa vyama vya upinzani CCM wajiongeza kwa kumualika Mwenyekiti...
0 Reactions
15 Replies
819 Views
Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea. Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kutofautiana na maamuzi ya Mahakama yaliyotangazwa mapema leo na Wakili Mwenzake Shaaban Marijani anayesimamia...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Mapema baada ya uhuru mwaka 1961, Tanzania imekuwa ikiimba wimbo wa kujitegemea kiuchumi na kudumisha ujamaa. Falsa na sera ya kujitegemea ilipamba moto zaidi baada ya kutangazwa kwa Azimio La...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Habari Zenu Wadau, Niende kwenye Mada Kwa ufupi, Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika...
7 Reactions
15 Replies
747 Views
Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa. Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
4 Reactions
15 Replies
622 Views
Inawezekana kabisa wale waliomualika walilenga "mambo mengine" lakini sasa jambo hilo limegeuka kuwa la moto na limebabua Dira yenyewe. Ni kweli kwamba Mbowe anajadiliwa kwa Negative na Positive...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema, “Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na...
21 Reactions
292 Replies
42K Views
Kibongo bongo yeyote anaejiuzulu apewe maua yake. Humphrey Polepole ni one in a million. Nimeona kuna watu wanahoji Polepole kwanini hakufanya wakati wa JPM? kama tatizo ni ukiukaji wa haki za...
5 Reactions
4 Replies
609 Views
Dira ingekuja na Graph na Key performance indicators .Figures na Projection . Ninachokiona na Maneno Mengi yasiokuwa na scientific back up ! Botswana wana Dira ya Miaka 25 . Mambo makubwa...
3 Reactions
11 Replies
605 Views
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?
5 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom