Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

Sidhani kama hilo linawezekana kiurahisi, sidhani. Hakuna mtu Mtaalamu ambaye ana akili zake timamu sawa sawa kabisa aache kazi yake ya maana huko nje ya nchi ughaibuni halafu arudi Tz eti kwa sababu ya kuja kuitumikia Serikali hii!! Labda Mtu huyo akili yake iwe ina mushkeli, Wala siyo bure.

Wataalamu wa Tz waliopo huko nje waliojaribu kufanya hivyo waliporudi Tz walikumbana na misukosuko mingi hapa Tanzania kutokana na kuwepo kwa janga la Siasa Chafu za Majitaka na Mifumo mibaya Sana ya Utawala wa nchi.

Dkt. Ulimboka ameamua kwenda kutafuta maisha nje ya nchi hii na kufanya kazi zake za Udaktari huko huko nje ya nchi baada ya kufanyiwa udhalimu mbaya Sana hapa nyumbani katika nchi hii kwa kung'olewa meno na kucha bila ganzi, kisa kudai Haki zake na za Madaktari wenzake. Hivi ni Mtaalamu gani ambaye anataka kufanyiwa vitendo viovu vya kishetani kama hivyo alivyofanyiwa Dkt. Ulimboka????
 
Dr. Daudi Balali
Akaishia kubankiwa EPA na huyu huyu Rostam na JK, mwishowe kapewa sumu akafa
 
Yani Nipo Dunia ya kwanza ni Professional na Nina Security ya kutosha kwenye career yangu halafu watoto wangu wanapata Elimu bora kabisa then nifunge virago kuja Nyumbani Kuendeshwa na wanasiasa kama makonda seriously kweli?
Yani chawa wawe Wanafanya maamuzi ya hatma yangu? Kwa kweli hii hapana huu utaalamu nimeupata Kwa Kupambana sana wacha niendelee kutengeneza generation yangu Bora kabisa uku uku abroad ambapo professionalism inaheshimika.
 
Rostam - hebu wasiliana na balozi wetu huko Canada. Muulize mara ngapi amewasiliana na wana diaspora (raia wa Tanzania na wale walioukana uraia) wa Canada, kuwaalika kwa hafla na kuzungumza nao ana kwa ana.
Hakuna Mtaalam ambae anatamani kurudi Africa uku mkuu, Labda uzeeni sana uko kuja kutafuta Political figure ila Kwasasa ni very risk kuserve at the pleasure ya aliyekuteua hakuna security kabisa na at end unaweza kuwa traumatized tu, Hakuna mtu anajali
 
Africa ni pazuri sana for weath accumulation shida yake Kubwa ni kuwa hakuna guarantee kabisa ya security, Ivo itakulazimu ubaki kwenye Political arena ili ku protect hio weath mana Kwa Africa Siasa ndio inalinda mali, Na Ukipishana na Mtawala basi ujue hata kama una biashara watazifatilia na Kuzifanyia Figisu, Maisha ya Africa yamejaa Kujikomba Komba na kulamba Miguu ya watawala ili either Upande favorable environment ya kufanya Biashara au Political appointment, No wonders hata Wanaume wakiafrica tunawahi kufa kwasababu it's chaos out there.
 
Sidhani kama hilo linawezekana kiurahisi, sidhani. Hakuna mtu Mtaalamu ambaye ana akili zake timamu sawa sawa kabisa aache kazi yake ya maana huko nje ya nchi ughaibuni halafu arudi Tz eti kwa sababu ya kuja kuitumikia Serikali hii!! Labda Mtu huyo akili yake iwe ina mushkeli, Wala siyo bure.

Wataalamu wa Tz waliopo huko nje waliojaribu kufanya hivyo waliporudi Tz walikumbana na misukosuko mingi hapa Tanzania kutokana na kuwepo kwa janga la Siasa Chafu za Majitaka na Mifumo mibaya Sana ya Utawala wa nchi.

Dkt. Ulimboka ameamua kwenda kutafuta maisha nje ya nchi hii na kufanya kazi zake za Udaktari huko huko nje ya nchi baada ya kufanyiwa udhalimu mbaya Sana hapa nyumbani katika nchi hii kwa kung'olewa meno na kucha bila ganzi, kisa kudai Haki zake na za Madaktari wenzake. Hivi ni Mtaalamu gani ambaye anataka kufanyiwa vitendo viovu vya kishetani kama hivyo alivyofanyiwa Dkt. Ulimboka????
Kwanza hao wataalam huko nje ni kina nani, au unabwabwaja tu, udaktari tu wa binadamu ndiyo utaalam unafikiri aliozungumzia Rostam. Rostam amezungumzia wataalam wa hightech hasa maeneo ya Computer Engineering, Data Science, wa AI, Data Mining and Warehousing siyo hayo MD yenu hao wako wengi na hawana ajira
 
Yani Nipo Dunia ya kwanza ni Professional na Nina Security ya kutosha kwenye career yangu halafu watoto wangu wanapata Elimu bora kabisa then nifunge virago kuja Nyumbani Kuendeshwa na wanasiasa kama makonda seriously kweli?
Yani chawa wawe Wanafanya maamuzi ya hatma yangu? Kwa kweli hii hapana huu utaalamu nimeupata Kwa Kupambana sana wacha niendelee kutengeneza generation yangu Bora kabisa uku uku abroad ambapo professionalism inaheshimika.
We endelea kupiga porojo zako hpo kijiweni kwenu huna mchango wwte wa maana, Rostam hajaongea kirahisi hivyo
 
Back
Top Bottom