Izizimba
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 152
- 412
Kibongo bongo yeyote anaejiuzulu apewe maua yake.
Humphrey Polepole ni one in a million.
Nimeona kuna watu wanahoji Polepole kwanini hakufanya wakati wa JPM? kama tatizo ni ukiukaji wa haki za binadamu.
Kwanza kutowajibika wakati fulani haikuzui kuwajibika baadae. Kisa wakati fulani hukukemea jambo fulani ndio upoteze haki ya kukemea kabisa.
Ni sawa na kutenda dhambi mara moja ndio uendelea kutenda dhambi hiyo tu kwasababu umeshazoea kuitenda.
Kwahiyo hoja hiyo ni ya kitoto na haina msingi.
Pili, Kibongo bongo mtu kujiuzulu ni nadra sana, watu wapo tayari wawe wanafiki lakini waendelee kushikilia vyeo.
Ni wangapi wanaweza kuwajibika?
Mwisho, my take Humphrey Polepole apewe maua yake na ni mmoja kati mamilioni.