Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siwakubali Chadema lakini ukweli mwingine Uko wazi kabisa Unapomjadili Mbowe huwezi kuacha kuijadili Chadema na Tundu Lisu Sidhani kama Lucas hata anaelewa ninachozungumza na kuhofia Anyway...
3 Reactions
0 Replies
201 Views
This could be one of the most exceptional and Exparte injunctions ever issued in the history of countries that follow the Common Law system. Ordinarily, an injunction is granted to preserve the...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA aliyesaliti mapambano Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizikwa kwa uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 amekwepa kujibu swali la Mwandishi wa...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Leo imezinduliwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Shabaha ya Dira ni kuwa na Pato la Taifa la USD 1 trillion ambapo pato la mtu mmoja liwe wastani wa USD 7,000 kwa mwaka kutoka USD 1,200 za sasa...
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Tukiiga na hii kutoka Uingereza ina maana Vijana wa kuanzia Form Three Watajikuta ni Wapiga Kura Kwahiyo Siasa zitahamia Secondary schools ambako kutakuwa na Kura karibia million 2 Mlale unono 🙏
0 Reactions
3 Replies
211 Views
Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi. Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Fred Msemwa ameeleza ufanisi uliotumika wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Dira ya Taifa 2050, akieleza kuwa walitumia njia shirikishi...
0 Reactions
3 Replies
334 Views
Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa 1. katiba, 2. Mungu mtu Magufuli, 3. Magu na umungu mtu akaleta bunge butu maana alijiona yeye pekee ni Mungu 4. Magu katuletea Mama kujifanya malkia...
2 Reactions
0 Replies
210 Views
Godfrey Sitta, mtia nia wa Ubunge wa jimbo la Meatu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ametoa wito kwa makada wa chama hicho na wakazi wa Meatu kwa ujumla wake kuhakikisha wanaufanyia kazi...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema licha ya Serikali kufanya kazi kubwa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, lakini bado haijakiri kuhusu...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana! Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi. Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza. Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuishi kwingi ni kuona mengi,nimemuona Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani,akiwa na thamani kubwa kwa jamii,nikamuona Lipumba akiwa CUF,tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo ni kati ya watu kumi...
1 Reactions
5 Replies
331 Views
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi...
2 Reactions
11 Replies
451 Views
I. Utangulizi Salaam Profesa Kitila Mkumbo na Timu yako. Nimepekua kitabu cha "Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050" kilichozinduliwa Jijini Dodoma, tarehe 15 Julai 2025 (Kiambatanisho A). Uzinduzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dira ya Taifa inayotarajiwa kuzinduliwa leo, imeandika kulenga kufikia Tanzania ya Viwanda kufikia mwaka 2050 ambapo imesema wanataka kuwa nchi ya kipato cha juu cha kati (Upper Middle Income...
3 Reactions
1 Replies
366 Views
Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom