Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha...
11 Reactions
83 Replies
6K Views
Jiwe hakupenda kukosolewa, na kila aliyejaribu kumkosoa alikomeshwa na wako wengine waliuawa akiwemo Ben Saanane Kimsingi Askofu wa huko kwao Niwemugizi wa kanisa katoliki , Kanisa ambalo Jiwe...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa...
1 Reactions
2 Replies
379 Views
Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni...
1 Reactions
3 Replies
292 Views
Wahenga siasani hamuoni kana kwamba ile Ligi bado inaendelea lakini kwa viwango vya juu kabisa Wengi tulidhani mkwamo wa Katiba mpya ndio mwisho wa baba Kipi lakini Wananchi kadhaa bado...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Maria nakupongea kwa unachokifanya. Kazi yenye baraka za Mungu. HAKI NA DEMOKRASIA My concern is: Wachangiaji wawe objective should not be influenced by personal feelings or opinions in...
0 Reactions
14 Replies
497 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Wanabodi, Declaration of Interest, japo mimi Paskali, ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity...
23 Reactions
194 Replies
27K Views
Jana ndio rasmi ilikuwa Siku ya ushuhuda wa Chadema kuachwa kama Chama Huru na halisi cha Upinzani Kwa kawaida katika Ulimwengu wa roho mwaka wa 33 huwa ndio mwaka wa ukombozi Kwa maana hiyo...
11 Reactions
14 Replies
662 Views
Hamna Jipya chini ya Jua. Ila safari hiii Utekaji umefanywa dhidi ya MTU ambaye ni Mzalendo kwelikweli. Hivi Polepole Kwa namna alivyo Mzalendo, ni wa kumtekea Familia yake???.
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania. Ameshika nafasi nzito na...
37 Reactions
154 Replies
12K Views
Polepole ni akili kubwa, anazidi kuwapiga chenga ya mwili. Ebu tusubiri tuone, naona wazee wa kutumia nguvu bila akili mnamuwinda Polepole kama Simba mwenye njaa akiwinda porini.
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Mnapiga kelele hovyo na kupaza sauti kutetea uovu kisa tu mnapata posho. Kila kukicha mnashadadia mambo ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu. Mnaona kifo cha watu kama mzee kibao ni kama panzi...
2 Reactions
4 Replies
327 Views
Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti...
5 Reactions
15 Replies
948 Views
Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Kimsingi, Askofu Gwajima anachochea majeshi yafanye uasi, na yaache kutii viapo vyao. Nampa ushauri kwamba ajichunge sana na kauli zake, yeye ni mtu mmoja tu, hawezi kuteketeza maisha ya watu...
4 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu! Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom