salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,
nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
Team!
Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi...
Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge.
Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani...
Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini?
Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea.
Mbunge kamati ya...
https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf
Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa...
IAM DEEPLY CONCERNED.
YAWEZEKANA TUKO KATIKA JANGA LA KISHERIA – UHALISIA WA KUTISHA KIDEMOKRASIA !?
Hili linaweza kuwa moja ya zuio la kipekee kabisa, la upande mmoja, kuwahi kutolewa katika...
Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!!
Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!!
Mngekaa...
Taarifa zilizopo zinadai kwamba baada ya Polepole kuanza kubishana na wenye nchi huku akimkosoa Mwenyekiti wake Kuhusu awamu ya sita tayari mkakati WA kuwahoji yeye na Bashiru Kuhusu fedha...
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitakuwa na utaratibu wa kuwakata wagombea bali kitateua wale wanaofaa kwa mujibu wa vigezo na taratibu za chama...
Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea.
Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana...
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE
Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha.
Hakika...
Kwamba inakuwaje kiongozi anayejiamini aogope hata kuchukua fomu ambayo anapewa yeye tu Peke yake, kulikoni? tena anayempa ni Katibu Mkuu aliyemteua yeye Mwenyewe!
Utaratibu huu ni wa wapi na...
Asalam. Natumaini muwazima jamani nimeshindwa kuvumilia naomba niandike haya machache labda naweza kuliponya Taifa ama naweza zungumza na mtu kwa lugha fupi akanielewa.
Hali ni mbaya ni mbaya...
REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI?
Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi...
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta.
Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.