Somo: Magufuli alijaribu hata kumnyang'anya Askofu Niwemugizi Uraia wake, Mwisho wa siku Ndiye akiongoza Ibada yake ya Mazishi

Somo: Magufuli alijaribu hata kumnyang'anya Askofu Niwemugizi Uraia wake, Mwisho wa siku Ndiye akiongoza Ibada yake ya Mazishi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
140,364
Reaction score
280,093
Jiwe hakupenda kukosolewa, na kila aliyejaribu kumkosoa alikomeshwa na wako wengine waliuawa akiwemo Ben Saanane

Kimsingi Askofu wa huko kwao Niwemugizi wa kanisa katoliki , Kanisa ambalo Jiwe alibatizwa alikataa kuwa chawa na akashughulikiwa, lakini ndiye aliyenyunyuza maji ya baraka kwenye kaburi alilozikwa Magufuli.

Mungu Fundi

Screenshot_2025-06-17-14-26-25-1.png


Pichani: Mh Magufuli akiwa na Meya wa Kinondoni wakati huo kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Maghorofa, Magomeni Kota

Leo Bonny ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani lakini Magufuli ni Marehemu

Screenshot_2025-06-17-14-27-29-1.png


Ujumbe: Dunia Mapito
 
Back
Top Bottom