Wakuu tufuatilie hii ni Mubashara
Leo Rais Samia atashiriki kuzindua Bandari Kavu ya Kwala, mradi unaotarajiwa kuboresha usafirishaji na kupunguza changamoto ya Foleni hususani Kwa magari makubwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama walioteuliwa kuwania nafasi za ubunge yalisahaulika kutajwa katika orodha rasmi iliyosomwa mbele ya waandishi wa habari...
ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya...
NIMEONA JANA
KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI
NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA
PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK
YAAN...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye...
Chikwete kawafunga vibwebwe hawa kwa miaka ishirini na sijui mwishowe lini Kama si mile. Na alivyopandikiza vigingi vyake, si kazi ya mlo mmoja kuving’oa, wallahi. Hata akija mwenye jina, hukuta...
Wakuu,
Huko CCM wanawake waliokatwa kwenye mchakato wa kugombea Ubunge niliowaona ni wawili tu
Kuna yule anaitwa Angelina Mabula pamoja na Liberata Mulamula. The rest kuanzia Gambo, Mpina, Ole...
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua...
Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na...
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim'...
My Take
Kwa maoni yangu,shida kubwa ilikuwa ni Kwa Wageni nje ya Jumuiya ya Afrika hasa Wachina lakini sio Waafrika wengine.
Hapa bwana Jafo Sina hakika kama alishirikisha Wizara ya Mambo ya Nje...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda...
Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amehoji na kuoneshwa kushangazwa kwa uwepo wa baadhi ya magari, baiskeli na pikipiki zenye picha na majina ya moja ya mgombea wa mwaka huu 2025 ambazo...
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi...
Watu wengi wakipata nafasi, wanaangalia zaidi namna ya kuinua familia / ndugu zao, si kwa maslahi ya taifa au jamii kwa ujumla.
Mradi mtu na familia / ndugu wake wako vizuri, basi huhisi nchi...
https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani...
Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa.
Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima...
https://youtu.be/HVArMzRPSyk?si=278C6pGBZ2Dk0qwq
➡Leo Tundu Lissu kampiga za uso kweli kweli hakimu Kiswaga na kumwambia waziwazi kuwa yeye ndiye anayeruhusu utaratibu na mchakato wa uendeshaji...