Mama Kikwete angeweza kugombea Jimbo la Kawe na angeshinda kwa kishindo tu lakini Hekima imemtuma kuwatumikia Wananchi waliomlea na kumfikisha kwenye kilele cha mafanikio
Mbunge wa nyumbani ndio...
Hata "Remote"ya Roma inaweza kuwa kwa Sugu Mbeya!
Nimemsikia Roma Mkatoliki na wadau wengine wa mitandaoni wakikosoa Mh. Rais kufanya "Consultation" kwenye masuala ya msingi ya kitaifa kupitia...
Kesi hiyo ya Uongo ambayo Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi imeitunga ili kuzuia Moto wa siasa wa Chadema, baada ya kumuogopa Lissu Majukwaani, Inaendelea tena Jumatano hii...
Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niseme nini,nashindwa niwaambie nini maana Taifa limesimama na wananchi wametulia huku macho na masikio yakiwa mkoani Dodoma
.
Sasa Mwamba Mwenyewe mwenezi wa...
Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia...
Watu kama January Makamba, Mpina, Mrisho Gambo, Sabaya na Jerry Muro wasipoteuliwa ubunge au kazi za serikalini wanaweza kufanya kazi gani tena hapa Tanzania katika sekta binafsi?
Ni wachache...
Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takriban 700,000 wapo mitaani wakihangaika, wakiwa ni victims wa mfumo usiothamini maarifa (anti-intellectual governance structure). Hii si ajali...
Mozambique na Tanzania ziko kwenye vita Kali ya ushindani wa Kutawala soko la Nishati Kwa kutumia gesi asilimia yaani LNG.
Kila Nchi inapambana kuhakikisha inajenga viwanda vya kusindika gesi...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka...
Mkataba Mwitongo ni mkataba ulio asisiwa enzi za Mkapa na ukiwa na lengo la kuhakikisha watoto wote wa watawala wanapewa kipaumbele au upendeleo katika kila nyanja, ikiwemo Siasa,uongozi au hata...
Kwa wale wajuvi wa Siasa na Historia kiujumla, naomba kufahamu kuhusu Majimbo aliyowahi kugombea Rais Samia, na ilikuwa ni mwaka Gani, pia je aligombea kupitia Chama Gani
Nafahamu Rais Samia...
Chama Cha Mapinduzi leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Baadhi ya wagombea ambao walikuwa wabunge majina yao hayajapitishwa na...
https://youtu.be/BhcymOXCtEM
Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi.
Ambapo viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.