Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari...
15 Reactions
369 Replies
56K Views
Habari zenu wana JF wenzang Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa...
10 Reactions
90 Replies
5K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Thomas Mitchell na kumhakikishia kuwa Tanzania itaendeleza mahusiano kidiplomasia na kibiashara kwa manufaa ya...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Bila shaka wewe umepitia mafunzo ya kijeshi na umekula viapo vingi sana vya kizarendo, kulinda Taifa, kwa ajili ya masilai maana ya nchi yetu Tanzania (Tanganyika). Toka hadharani basi...
0 Reactions
6 Replies
434 Views
Nakumbuka kipindi cha utawala wa JK kule wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma iligundulika hazina kubwa ya madini ya Uranium Ila tangu wakati huo sijasikia mwendelezo wa uchimbaji wa madini hayo...
0 Reactions
4 Replies
449 Views
Kiukweli sisi watanzania ni hatujitambui na atuelewi tunataka nini. Kwa mtu kama Lissu hatukutakiwa kukubali kabisa kusulubiwa na dola namna hii, tangia kupigwa risasi hadi kesi yake ya uhaini...
19 Reactions
100 Replies
3K Views
Yusuph Makamba ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa CCM. Hakuwa na sifa ya kuwa kiongozi wa chama ngazi ta taifa. Alijawa na dharau majivuno na kujiamini kuliko pitiliza. Ni tabia hii iliyo...
5 Reactions
15 Replies
804 Views
Wenzangu, salaam? Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuweka wazi yale madili aliyofanya huyu bwana kwa jina la Ammy Mpungwe...wakati akina yona na mkapa wakiandaliwa kesi kwenda kwa vyombo vya...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
GTs, Nimeoteshwa Mh. Mpina ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa CCM
4 Reactions
20 Replies
994 Views
Nauliza tu kwa sababu nimemsikia Ruto akimwambia Museveni kuwa Ujenzi huo utaanza mwisho wa mwaka huu Mkataba wa makubaliano ya Biashara umesainiwa Leo Ahsanteni sana Kwako Kafulila 😄
2 Reactions
12 Replies
437 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani kitendo cha utekaji, utesaji na kutelekezwa kwa raia wa Kenya, Bw. Mwabili Mwagodi. Tukio hili linatishia misingi ya haki, amani, na utawala...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma, ni hatua muhimu na...
0 Reactions
5 Replies
428 Views
Kama jaji au hakimu anastaafu kumbe alikuwa anafanya huku ana kadi ya CCM unategemea nini? Jaji au hakimu anastaafu alafu anagombea ubunge au urais. Hakuna haki itayopatikana.
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Utangulizi Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwanasheria na Mwanasiasa mashuhuri nchini, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Katika ufuatiliaji huu, kwa masikitiko...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ya Leo GT. Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA; 1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini? a: Kupunguza pressure mtaani b...
36 Reactions
103 Replies
4K Views
Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna...
8 Reactions
104 Replies
4K Views
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
4 Reactions
9 Replies
604 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tabia njema , uchapakazi, unyenyekevu,ukarimu ,heshima ,upendo ,upole ,huruma na Utu alionao Mheshimiwa Wanu Hafidhi Umefanya jimbo la Makunduchi Zanzibar kuripuka kwa...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
619 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom