Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye...
0 Reactions
11 Replies
851 Views
Chikwete kawafunga vibwebwe hawa kwa miaka ishirini na sijui mwishowe lini Kama si mile. Na alivyopandikiza vigingi vyake, si kazi ya mlo mmoja kuving’oa, wallahi. Hata akija mwenye jina, hukuta...
0 Reactions
4 Replies
446 Views
Wakuu, Huko CCM wanawake waliokatwa kwenye mchakato wa kugombea Ubunge niliowaona ni wawili tu Kuna yule anaitwa Angelina Mabula pamoja na Liberata Mulamula. The rest kuanzia Gambo, Mpina, Ole...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua...
20 Reactions
62 Replies
7K Views
Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na...
6 Reactions
7 Replies
474 Views
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao.. Rais Mwinyi alikuwa 'victim'...
64 Reactions
218 Replies
19K Views
My Take Kwa maoni yangu,shida kubwa ilikuwa ni Kwa Wageni nje ya Jumuiya ya Afrika hasa Wachina lakini sio Waafrika wengine. Hapa bwana Jafo Sina hakika kama alishirikisha Wizara ya Mambo ya Nje...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda...
2 Reactions
5 Replies
411 Views
Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa...
3 Reactions
17 Replies
735 Views
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amehoji na kuoneshwa kushangazwa kwa uwepo wa baadhi ya magari, baiskeli na pikipiki zenye picha na majina ya moja ya mgombea wa mwaka huu 2025 ambazo...
3 Reactions
7 Replies
519 Views
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi...
0 Reactions
6 Replies
585 Views
Watu wengi wakipata nafasi, wanaangalia zaidi namna ya kuinua familia / ndugu zao, si kwa maslahi ya taifa au jamii kwa ujumla. Mradi mtu na familia / ndugu wake wako vizuri, basi huhisi nchi...
2 Reactions
1 Replies
297 Views
https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa. Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
https://youtu.be/HVArMzRPSyk?si=278C6pGBZ2Dk0qwq ➡Leo Tundu Lissu kampiga za uso kweli kweli hakimu Kiswaga na kumwambia waziwazi kuwa yeye ndiye anayeruhusu utaratibu na mchakato wa uendeshaji...
1 Reactions
8 Replies
576 Views
Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha...
1 Reactions
11 Replies
501 Views
Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila...
19 Reactions
92 Replies
12K Views
NUKUU ZA LEO A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela. 😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali...
5 Reactions
6 Replies
418 Views
Back
Top Bottom