Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema.
Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe...
Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye...
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au...
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka...
Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na...
Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana.
Lissu be smart, husifungue kesi kupinga...
Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu...
UJUMBE:
Wana-Moshi Vijijini,
Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi...
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji...
Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna...
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo -...
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama...
Mimi Sijambo!
Moja ya Mambo ambayo Makonda anafanana na Tundu Lisu ni Kujiamini na ujasiri. Ingawaje wapo katika mirengo tofauti lakini tabia hiyo inawaweka kapu Moja kwa kigezo cha watu wasio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.