WanaJF,
Mnaionaje hoja hiyo kwamba Nyerere alijitahidi kujenga nchi lakini alipokuja Mzee Mwinyi akaibomoa. Mkapa alipoingia madarakani ilibidi aanze upya kuijenga nchi. By the time anamaliza...
Written by Stonetown | 12/11/2012
Katika maisha yangu niliyoishi kama mwananchi wa Zanzibar, na chini ya uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, sijapata kuona Rais hodari na mwenye imani...
Nape akihojiwa na star tv leo asubuhi anasema mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa lami wanajipanga kuunganisha wilaya.
Jamani hivi Kigoma-Tabora? Kigoma-Shinyanga? Dodoma-Manyara? Huyu...
MONDAY, NOVEMBER 12, 2012
MRADI UTAOMALIZA KABISA KERO YA MGAO WA UMEME NCHINI
Michoro ya sehemu mradi mkubwa wa bomba la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi eneo la Kinyerezi jijini Dar es...
Nimekua nazungukazunguka kwenye mitandao ya kijamii yenye origin ya mataifa mengine ya Africa, at least kujua wao wanachukuliaje mambo yao wenyewe, mahusiano yao na watu wa mataifa mengine na hasa...
BAADA ya kubainika kwamba tuhuma zilizotolewa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini dhidi ya baadhi ya wabunge kuwa walipokea rushwa hazikuthibiti na viongozi hao kukemewa, Mbunge wa Ubungo...
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais Kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni...
Frustrated by delays and high costs of constructing roads by private companies, government has resorted to establishing a national construction company to swiftly construct roads.
UNRA Director...
Dear Mwl. Nyerere,
Tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ndo...
Nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo
Sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo...
Katika Bunge la bajet mwaka 2012 kulitokea zogo kubwa wizara ya Nishati na Madini kitu kilichopelekea Kamati ya Bwana Bunge kuvunjwa na Spika bibi wa Kanuni kuwa ilidaiwa kula mlonhula kukwamisha...
Kama uliangalia mkutano mkuu wa CCM,Utagundua kuwa meza kuu yote ilikuwa na madume tu!
Mimi Siku zote naamini CDM huonyesha njia vinginevinafuta! Je katika hili vipi CDM mko tayari kuwapa...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema kwamba uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar utafanyika kesho tarehe 13 Novemba 2012.
Katika mkutano...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Kamanda Freeman Mbowe ametangaza mkakati wa Uchaguzi mkuu wa 2015 na moja ya mkakati huo ni kumwaga pikipiki katika tarafa zote nchini kwa...
Habari nilizozipata muda huu kwenye chanzo cha kuaminika zinasema kwamba Hussein Bashe yupo anafanya press conference miongoni mwa yaliyojiri ni kwamba kamshukia Membe kwamba ni MNAFIKI na anaishi...
Nimeshangazwa na kitendo cha CCM kumwibua upya Mzee Philip Mangula kuwa makamu mwenyekiti wa CCM bara! Najiuliza mzee Philip Mangula alishatumikia chama kwa muda mrefu na inawezekana alifaa sana...
Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda...
Unyama huu ukomeshwe Zanzibar
Salim Said Salim
KATIKA mwisho wa mwezi Aprili, mwaka 2005 nilieleza katika gazeti hili namna nilivyosikitishwa na kushitushwa na baadhi ya watu...
Mzee Sitta alipoiponda CHADEMA kuwa haina mtandao wa uongozi ngazi za chini, mimi ni mmoja kati ya watu waliomuona huyu mzee anazeeka vibaya. Lakini baada ya kushuhudia uchaguzi wa meya wa Ilemela...