Vote of No Confidence To Kikwete. He is a Danger to The Country. He Must Go

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais Kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......
 
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......

Unapima upepo au sio? Eid mubarak
 
vote of no confidence imechelewa sana, tulitakiwa kumpigachini wakati wa issue ya jairo, hivi "watanzania" tuna tatizo gani?? tunaogopana sana??,hawa CCM wana matatizo. huu ni wakati wa kutafuta njia ya kumtoa huyu jamaa, la sivyo yatakayo tupata huko mbeleni tusimlaumu mtu, we fikiria kiongozi gani anapingana na wenzake, kwenye issue sensitive kama hii. alafu CCM mnaendelea kumbeba, piga chini huyu mtu liwalo na liewe ndo maamuzi magumu
 
Yeye alishasema hakuna kitu watanzania wanaweza kufanya kwa pamoja...maana 70% ni fuata upepo hawana msimamo!!
 
VONOCO WHO WILL VOTE, kwa ufahamu wangu bunge ndo wanatakiwa kupiga hii kura, je kwa hili bunge ililojaa wanaccm is it possible, si dhani kama watakubali kupoteza mpunga wale , tumeshaona issue sensitive kibao hakuna walichotetea zaidi kusinsia na kusema kila jambo ndiyoooooooooooooooooooooooooooo
 
aaak kwani alipoongea na raisi wa malawi sio alisema watamaliza matatizo ya mpaka kwa mazungumzo na akamulika aje tz, so hii kuwa tz haimiliki ziwa nyasa kaongea lini? na kama ni kweli kaongea hivyo ni hali ya hatari kweli
 
Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Waliosema ndiyo nathani wameshinda.

Sheria zetu zimetungwa hivyo so na viongozi wataendelea kuwa wabovu tu.
 
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......
CCM-MAMA, Naona karibuni sana sasa mnaanza kumaka.

Kwanza CCM Mama lazima iwe very conservative CCM in a modern time ambayo ni CCM azimio la Arusha. Hii lazima iipindue CCM Liberal CCM azimio la Zanzibar.

Lazima CCM ivunjeka Mapande mawili ...
 
Last edited by a moderator:

CCM iko moja tu, na ndio itakayo watawala milele, mvurugano unauona ni mambo ya kawaida kwenye familia kubwa.wengi wanautaka urais rakini ni mmoja tu atakae chaguliwa na atapata support ya wote.
 
Last edited by a moderator:
mh!! ok jaribuni kura lakini najua sio rahisi Gaddafi style ndio pekee inaweza kumtoa yeye na ccm madarakani lakini miaka nenda miaka rudi tutapigia wapinzani kura watashinda ila CCM a.k.a magamba watatangazwa washindi sisi tutakaa kimya tutarudi kwenye keyboard zetu kama kawa na kuanza kupost!!
 
Ghadafi style mnaiweza lakini? Hii ni bongo bana, watu tunapenda maisha kuliko chama. Hakuna wa kujitolea maisha yake ili mwizi mpya aje kula nchi. We unafikiri wakija kina Slaa ndio hawatakula? Tanzania kila mtu mlaji sema channel tu ndio ngumu.
 
Jaman hakuna mtunzi mzur akatutolea kitabu cha majumuisho ya matukio na matamko ya huyu mkuu kama alivyofanya Nyerere kwa mwinyi. Ama kweli Kolimba alisema ccm imeoza inanuka na haina mwelekeo sasa ndio tunapata majibu. Lakini huyo walisema n chaguo la mungu.
 
Very useful topic!
Kwanini kwenye simu hakuna like?
Jk is too scandalous to lead Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom