Mambo makuu 10 muhimu ya kuzingatia katika ukombozi wa Tanzania 2015

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
AMRI 10 ZA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI (CCM)


1.Usiwakumbatie waovu kama Kikwete
2.Usiwe mwizi kama Lowasa
3.Usiwe mwongo kama Makamba
4.Usiwe mnafiki kama Rostam
5.Usidharau pesa kama Chenge
6.Usikose msimamo kama Mrema
7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma Kikwete
8.Usilumbane hovyo kama viongozi wa ccm
9.Usiwe na kiburi kama Mramba
10.Hizi ndo amri kuu nawaombeni PIGIA KURA CHADEMA 31/10/2015 ( J MOSI).
 
Back
Top Bottom