Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Wakati tayari kukiwa na kila dalili za Energy Money kutuletea matatizo baada ya baadhi yetu kuanza kukwiba kutoka kwa baadhi ya wadau wa uzalishaji wa mafuta na gesi wakati serious production bado haijaanza,kuna kila dalili za gas na mafuta yetu kuja kukosa wanunuzi kitu kinachoweza kuja kutuletea matatizo zaidi sababu hakuna atakayeelewa kwamba wawekezaji hawapati faida kutokana na kukosekana kwa soko.
Habari iko hivi
Marekani wamejipanga vilivyo kuwa the world number one producers wa oil na gas kufikia mwaka 2017, na kuwa net exporters kufikia 2020.
Hawa ndio world number one consumers wa oil & gas, kwa kadri demand yao ya arab oil inavyoendelea kupungua toka 2008 sababu ya ongezeko lao la uzalishaji wao ndio jinsi bei ya mafuta inavyoshuka kutokana na supply kuongezeka.
Juzi Rais Chikwete aliwekea msisitizo kauli ya Mwongo kwamba hata sasa, tunazalisha umeme zaidi ya mahitaji yetu, ikiwa inamaanisha kwamba sisi kama sisi inawezekana kabisa uchumi wetu hauhitaji kuwa na source yake pekee ya mafuta, ambayo inamaanisha pia kwamba mbwembwe zetu zote za kukimbilia kuzalisha oil na gas na kwa ajiri ya export.
Sasa nabaki najiuliza tutauza wapi? Hapa ndio naanza kuona dalili za vipengele vya wazalishaji kulipa kodi only when the oil price is not less than USD ****, Kwenye Dhahabu na Tanzanite tumevulia, tutaendeleza uvumilivu??