Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.
Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama...
Wakuu JF amani iwe nanyi.
Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana.
Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT-...
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao.
Mzee Makamba...
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?
Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!
Niwatakie jumapili njema.
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni."
Akizungumza leo Julai 31...
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi na kuainisha...
Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM).
Katika video hiyo, ameonekana...
MBUNGE CATHERINE MAGIGE YUKO MAJI YASHINGO UCHAGUZI UWT ARUSHA.
Wadau wa JF,
Wakati uchaguzi wa UWT wilayani Arusha ukitaraji kufanyika kesho hali imeelezwa kuwa mbaya sana kwambunge wa viti...
Huyu mbunge wa viti maalumu Catherine Magige CCM amekuwa msaada mkubwa sana wa kuwasemea wana A town katika kushughulika na kero zao. Ikumbukwe pia mbunge Lema amekuwa akijihusisha zaidi na mambo...
Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na...
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa...
Hakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake.
Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya...
Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake...