Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa ILEMELA Mh. Hynes Kiwia ameshinda rufaa iliyofunguliwa na CCM kutaka kuvuliwa ubunge katika mahakama ya rufaa leo Rufaa, unaweza kusoma: Wana CCM Mwanza wamkatia rufaa mbunge wa Chadema...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam sana wanandugu, Mimi kweli ni mpenda mabadiliko na ninaona chadema inaweza kutupeleka huko,ila nina maswali najiuliza na sijapata jibu bado. Nimehudhuria mikutano kadhaa ya CHADMA na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF, mwaka 2012 ndio unaishia ukingoni hivyo basi ningependa kila mmoja atoe maoni yake kuhusiana na utendaji kazi wa mawaziri wetu. Tufanye evaluation kwa kipindi chote cha mwaka 2012...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndugu yangu Nape wewe kama Mtanzania unachukuliaje haya yafuatayo: Mabilioni yaliyofichwa uswisi na Watanzania Rushwa iliyokithiri na hasa serekalini na CCM (Mwenyekiti alikiri alipokuwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Vurugu Chunya TUESDAY, DECEMBER 11, 2012 WATU 13 akiwemo diwani wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kata ya saza Benadetha Zacharia(38) wanashikiliwa na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
The Protectorate After a period of confusing lines of control, Zanzibar was officially declared a British protectorate in 1890; the sultan was retained for ceremonial purposes, but most major...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Ni faraja kwa Watanzania kuona uongozi bora wa Rais Jakaya Kikwete umefanikisha maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru yakiambatana na matukio yaliyojaza furaha lukuki wa wananchi wa rika zote, makabila...
6 Reactions
98 Replies
10K Views
Kuna misemo mingi ya kiswahili ambayo tumekuwa tukiitumia katika kufikisha ujumbe katika jamii ambayo iliasisiwa na wazee wetu tangu enzi hizo,lakini misemo hiyo na nahau zake ililenga kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
• CCM wanaufanya mchakato ni wao, mali yao. • Serikali inawapa uso kutekeleza vitimbi viovu dhidi ya mchakato huo. Utowaji wa maoni katika wilaya ya Mjini ratiba imepanga vituo vyote vya kutoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kuwaasa chadema kuwa katika vyama vya siasa kunakuwa na watu controversial. Ukimwangalia Filikunjombe utadhani ni chadema ndani ya ccm lakini ccm wanaweza kuvumilia mawazo tofauti...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nakumbuka mnamo mwaka 2007 Chuo Kiku cha Edinburgh cha huko Scotland nchini Uingereza kilitangaza kumnyang'anya Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Shahada ya heshima waliyompa miaka takriban 20...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna mahali nimepata quotation hii is a food for thought! "official government's position on economic policies had clearly changed after the stepping down of Mwalimu Nyerere, a socialist and...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
.. to witness his son doing his very first live ( televised)public presentation. During my childhood at Ilala, I remember my late father, John Ramadhan Mjengwa telling me to follow him to a...
12 Reactions
51 Replies
5K Views
kama alivyofanya kwa mukama,kijana huyu ambaye unaweza kumuita 'media darling' anaonekana kushika kasi katika suala zima la usemaji na maamuzi ya ccm.tukumbuke kinana alitajwa sana kwa muda wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
CCM yapinga maagizo ya DC na Victor Eliud, Geita MWENYEKITI...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Maendeleo ya binadamu yamepiga hatua sana pale binadamu walipoamua kuishi pamoja. Tatizo moja la kimsingi kabisa lililopelekea binadamu kuwa na serikali ni changamoto ambazo binadamu alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msekwa baada ya kushindwa uspika akawa makamu wa m/kiti bara.Nape aliposhindwa kura za maoni ubunge akawa mwenezi Taifa.Mangula aliposhindwa mwenyekiti Iringa kapewa makamu CCM bara.Rose Migiro...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mzalendo imeipokea taarifa ifuatayo amabyo imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi ya Chama cha Wananchi (CUF) kwa vyombo vya habari. Hapa tunaishapisha kama ilivyo kwa manufaa ya mjadala wa umma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, juzi alivuruga mkutano wa Chadema uliokuwa ufanyike ktk viwanja vya Sigara Sinza B, Dar. Ni baada ya viongozi wa CCM wa tawi la eneo hilo kupinga...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana hapa kasulu mjini ulikuwepo mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mbunge wa hapa ndg. Moses Machali kuelezea nn anakifanya kwenye jimbo lake. Sasa cha kushangaza usiku huo huo nikasikia...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…