CHADEMA na watanzania wote Washington DC, Maryland, Virginia na east coast kuaga 2012 pamoja. Ni kukutana kwa ajili ya holiday season, kujadili yanayo jili nyumbani na kwenye mazingira yetu. Mtu...
Suala la CCM kuwa na chama cha vigogo mafisadi na wezi halina mjadala, ila sababu yake ni nini hasa? Mie sidhani kama ni tamaa tu ya fedha na utajiri kwani kuna viongozi wengi tu wamo ambao ni...
wana jf, kwa kipindi cha zaidi ya wiki moja tumesikia madai ya ccm kwamba dr. slaa ni
mwanachama mwenye kadi (inayolipiwa) wa ccm. pamoja na mengi yanayozungumzwa
kuhusu hili lipo jambo ambalo...
Wana Jamii....
Poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno...
- Nimeona Mkurugenzi wa CHADEMA leo akidai maelezo kuhusiana na safari ya hivi karibuni ya Waziri wa CCM Magufuli huko Kenya na kuhusika na mikutano ya kampeni za Urais huko,
- Now kwenye hilo...
Nina hakika nyie ni mashaidi aidha kwa kutumia vyombo vya habari vya ndani na vyombo vingine vya nje kuhusu maendeleo yaliyoko RWANDA japokuwa nchi hiyo imekuwa ndani ya vita vya wenyewe kwa...
Kama ilivyotabiriwa Tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia CCM,
Leo hii tayari
mwenyekiti wa vijana
Katibu wa vijana
Katibu mwenezi
wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za...
MBUNGE wa Segerea, jijini Dar es Salaam, Dk Makongoro Mahanga amesema rushwa na ufisadi ndiyo ajenda pekee ya vyama vya upinzani katika kukichafua CCM na kuitumia kama hoja ya kutaka kukiondoa...
Nichukue fursa hii kumfunza kijana Nape katiba ya chama kilichomlea tangu azaliwe na kinachomuweka mjini leo hii:
Bahati mbaya sana kwa ccm, siku ya kufa nyani miti yote huteleza,
CCM ipo...
Vijana wanaojiita CHADEMA na kuimba nyimbo zoooote za CCM na kubeba vibwagizo vya Nape Nnauye, wanafanya press conference Jijini Mwanza muda huu kutukana harakati za mabadiliko nchini. Wanapambana...
CHADEMA: MAGAMBA WATATU VUNJA VUNJA BILA ROYALTY:
MAKAMANDA WA CHADEMA: Tuwe waangarifu sana, tushikamane, tuwe royal kwa chama chenu, tusikubali kurubuniwa. Huu ni wakati mgumu kuliko wote...
Leo tunaendelea na mjadala wetu kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa muktadha wa kutazama muundo wa Umoja wa Ulaya (EU).
Kama tunavyofahamu kuwa Umoja wa Ulaya si Muungano wa Kikatiba...
Ni baada ya RPC Mwanza kukataa agizo la kamati ya ulinzi ya wilaya (kamati za fitina) kuwakamata wabunge wa Chadema.
Nawaomba CCM wakae kitako na kutafakari (soul searching) angalau wawe...
Jee, wimbi la mageuzi ya kisiasa katika mataifa ya kiarabu yameleta manufaa yoyote?
wote wenye kufuatilia mambo yanavyokwenda afrika hasa libya,misri na kwingineko..je ni kwa kiasi gani wananchi...
Watanzania tumekuwa tukichekwa na watu wa nje kuwa hatujui jibu maswali, tuna reasoning mbovu na mambo mengine.Pia wana mapinduzi wamekuwa wakipata shida sana kujadili mambo na CCM, kuwaelimisha...
Nimevutiwa na tamko la Machifu wa Mbeya dhidi ya tukio la mauaji la Mwenyekiti wa CCM,wa Wilaya.Huku ndani ya JF kuna thread Mchambuzi nilichangia kama wiki mbili zilizopita nikasema kama Wazee wa...
-Siku za karibuni Nape ameanza piga kelele kuwa watu kadhaa wanashikilia kadi za CCM, bado haikuweza k uwa issue kwa vile kadi hununuliwa na watu wengi tuu hawarudishi hizo kadi.Wengine kama...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
EMAIL PRINT SHARE
BY PETER TEMBA, 14 DECEMBER 2012
THE Gross Domestic Product (GDP) in Kilimanjaro Region has increased from 714.7m/- in 2005 to 1.4bn/- in...
Magamba wanazidi kulowa. Maji yanazidi unga.
Wakati Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar es Salaam ikitoa hukumu ya kumrudishia udiwani na kumthibitisha Kamanda Ulole Ulole kuwa Diwani halali wa Kata...
Mwl. Nyerere wakati wa enzi zake akiwa ameng'atuka aliwahisema katika uchaguzi fulani wa kitaifa alipiga kura ya urais kwa mgombea wa CCM lakini kwa nafasi ya ubunge alimpigia mgombea wa upinzani...