Kichwa huwa kina kiuma kwa chama nikipendacho kuwa na maamuzi juu ya maamuzi ya waamuzi,naomba mnielewe hivi kuna Madiwani wa CHADEMA karibu kila wilaya ya Tanzania bara na huwa kuna vikao vya...
Wakati ule Waziri Mkuu wa zamani Msuya anasimamia kwa nguvu zake zote kuanzishwa kwa wilaya mpya ya Mwanga wengi tulimwona ni mkabila, mtu anayependelea kwao.
Waziri Mkuu wa sasa, Mizengo KP...
Mama tunakuomba uanze weye kuuondoa ufisadi ndani ya ccm. WAsungu wanasema: '' The toughest person to lead is yourself'' Umeisom hiyo Dr wa Magu.....................:bange:Alafu ufisadi hata...
Nimefuatilia kwa umakini sana namna vyama vya siasa vinavyoendesha siasa zao hapa Tanzania na kugundua madhaifu ya vyama husika.Nianze na CCM;Chama hiki kinaendesha siasa zake mithiri ya film au...
Ndugu Watanzania na ndugu wana jamvi Tume yetu ya katiba imeanza kupoteza mwelekeo. Hivi majuzi Tume ameandika barua kwenye wizara na Taasisi za serikali ikitaka Wakuu wa Taaisisi hizo wasaidie...
Bila shaka kwenye vichwa vya magazeti tajwa hapo juu kesho ni mwendo wa propaganda tu juu ya Dr Slaa na CHADEMA.
Tujiandae kisaikojia kusikia vichwa vya habari vikisema "Slaa kutumuliwa chadema...
Pension funds should operate prudently: THE Social Security Regulatory Authority (SSRA) is reportedly conducting an assessment on debts that the government owes pension funds, which is said to...
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imemaliza kikao chake cha siku mbili jijini Dar es Salaam, na kuazimia kuanza Operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) kwa ajili ya...
Dalili zote zinaonyesha kuwa CHADEMA itaunda serikali 2015. Kama mjuavyo, CCM ina wenyewe ndio hao akina Makamba ambao baba waliwatengenezea system. Wewe kijana usiye na stake kwenye system ni...
Balozi Kagasheki ni mbunge wa Bukoba mjini. Abubakari Kagasheki ni mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa Wilaya ya Bukoba Mjini, jumuiya iliyoko chini ya CCM. Abdul Kagasheki anagombea awe Mjumbe wa...
Mhe.Balozi Rajabu Gamaha, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (kulia) na Balozi Albert Shingiro, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi wakiweka...
Ujio wa Philipo Mangula mkoa wa Njombe umeleta simanzi kubwa kwa CCM baada ya makamanda wa CHADEMA kuamua kuonyesha kuchoshwa na chama hicho kwa kuchoma kadi zote za CCM zilizorudishwa toka kwa...
Hivi ile asasi iliyoanzishwa na Mama Anna Mkapa iliyokuwa ikiitwa kwa jina la EOTF (Equal Opportunity for all Trust Fund) ilifia wapi? Mbona siku hizi asasi ile haisikiki? Na sio asasi pekee...
Hali ya hawa bandugu wanao ng'ang'ana kubaki na kadi mbili jambo linalodhihirisha kuwa CCM kwao ni sawa kifo imeendelea kuwa mbaya baada ya Shina lao la Wakereketwa lililopo Tengeru kwenda CCM...
Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.
Nadhani sasa...
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank...
"...Basil, kusanyeni kodi... hata hao wakubwa IMF na World Bank nao wanawahimiza ...'kusanyeni kodi'...!" Haya ni baadhi tu ya maneno mengi ambayo nakumbuka Mwalimu Julius Nyerere aliyasema...
MMILIKI wa Kampuni ya McDonald inayodaiwa kupewa mkataba wa zabuni ya kufanya ukarabati wa miundombinu ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kinyemela, ameanika sababu za yeye kutajwa na Mbunge...
Leo mheshimiwa sana Edward Ngoyai Lowassa ameendelea na kampeni zake za kuchangisha harambee makanisani.
leo alikuwa kata ya akheri jimboni Arumeru Magharibi ambapo alitumia fursa hiyo kuwaasa...
Watanzania tuwe macho na hawa viongozi wetu.Mnakumbuka Kikwete alikuwa na utaratibu wa kutembelea wizara na idara mbalimbali za serikali?Kikwete alisifiwa sana kwa hatua hii lakini leo hii nani...