Siasa za CCM ni sawa na Film za CYBOG

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,374
1,500
Nimefuatilia kwa umakini sana namna vyama vya siasa vinavyoendesha siasa zao hapa Tanzania na kugundua madhaifu ya vyama husika.Nianze na CCM;Chama hiki kinaendesha siasa zake mithiri ya film au sinema za cybog yaani kwa kutumia akili isiyo na virutubisho vya maji,damu,protein nk.Badala yake wanatumia akili kwa kutumia vyuma vilivyo unganishwa[ma RCs,DCs,RPs,OCDs,DEDs nk.],wanatumia akili zilizoungwa na nyaya za umeme[eg.kugawa pesa kwa vijana wa vyama vingine na kuwaanzishia miradi eg.Deogratias Kisandu na wengine wa CDM],kwa kuwa na akili za cybog,mipango hii yote inapangwa na kugundulika mapema maana vicybog vidogovidogo vingi vipo CDM bali ajira CCM,ndiyo maana nalinganisha CCM na polical Cybog in Tanzania.Mathalan kuna vi-cybog vimevaa nyaya za Makundi wa wagombea urais 2015.Madhaifu ya CDM:pamoja na kutumia akili za kibidamu[naural brain],wanashindwa kupanga vikao vya mara kwa mara katika makundi mbalimbali,mathalani wasomi,wanawake,vijana,wazee,rika la watoto wenye umri wa miaka 12-17 nk,wanashindwa kulea wanachama,mathalani mpaka leo hii haijajulikana ni kamanda gani analea chama chuo kikuu kipi?wanawake wilaya gani?mkoa gani?wazee?nk.CUF:wanatumia akili za binadamu japo kwa kiwango kidogo ambacho si cha maigizo.Vyama vilivyo salia ni vi-cybogs ambavyo vimo kwenye film ya CCM'POLITICAL CYBOG'.WITO WANGU KWA WATANZANIA,TUTAFAKARI FILM HII YA CCM AMBAYO INAWAONDOA WATU KTK KUPAMBANA NA UFISADI,RUSHWA,UMASIKINI,MARADHI NA UJINGA.
 

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,021
2,000
Du mada yako ni kama sijaielewa hivi.Okey hapo kwenye CHADEMA.Wao hawana agenda za siri.Kwani ccm wanawagawa watizedi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom