Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 82
Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.
Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.
Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa wastaarabu hawakuwahi kuitumia