Dalili zote zinaonyesha kuwa CHADEMA itaunda serikali 2015. Kama mjuavyo, CCM ina wenyewe ndio hao akina Makamba ambao baba waliwatengenezea system. Wewe kijana usiye na stake kwenye system ni nafasi yako pekee kuingia na chadema 2015. Ukipoteza nafasi hii hutakaa upate nafasi tena, that is to say, you will perish.
Chukueni udiwani, ubunge, nafasi za ubalozi, uwaziri, vitengo nyeti, kutakuwa na manafasi kibao,lakini kama hujapigania chama utapataje stake yako muda ukifika? Amka sasa, acha kuzubaa.
Chukueni udiwani, ubunge, nafasi za ubalozi, uwaziri, vitengo nyeti, kutakuwa na manafasi kibao,lakini kama hujapigania chama utapataje stake yako muda ukifika? Amka sasa, acha kuzubaa.