Field Marshall ES
JF-Expert Member
- Apr 27, 2006
- 12,624
- 1,233
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.
- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!
- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?
Es