Chadema anzisheni kitengo cha kutunza kumbukumbu za matukio.

Kanundu

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
889
345
MAKAMANDA!

Najuwa mna majukumu mengi mno ya kuhakikisha tuna mtoa mkoloni mweusi, waTanganyika wote tufaidi Asali na Mana katika nchii hii inayo tiririka kila aina ya neema.

Naomaba kama hakuja anzishwa kitengo cha KUTUNZA KUMBUKUMBU hasa za MAAUAJI YA RAIA yanayo tokana na POLICE, Viongozi wote wanao tumia madaraka yao vibaya kinyume na KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, Mafisadi wote, n.k. Ili siku hiyo ya uhuru wa kweli wa mTanganyika utakapo patikana, basi kila aliyefanya kinyume na KATIBA ya Tanganyika ajibu mbele ya Pilato.

Hili ni muhimu sana ili tusipoteze kumbukumbu.

Nawasilisha.
 
Wahanga wote alipouaawa kumbukumbu zimetunzwa mahali mahali. Lazima mauaji yoote sheria ichukue mkondo wake!..
 
Wahanga wote alipouaawa kumbukumbu zimetunzwa mahali mahali. Lazima mauaji yoote sheria ichukue mkondo wake!..

MKUU Tenende!

Heshima yako Mkuu! Hapa sijakuelewa mkuu!!! Au una maanisha kwamba kumbukumbu zote zimehifadhiwa kwa maana nani alifanya nini na wapi na saa ngapi? Pia kwa amri ya nani? Na kwa maslahi ya nani?

Kama ndivyo, nakupa :clap2::clap2: kwa moyo mkunjufu kabisa. Ni lazima watokee kwa PILATO siku ikifika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom