Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
waziri nyalandu anaonekana ni mwema sana lakini sakata la kumiliki kampuni ya Nitoke Safari Ltd NI KASHFA KWA SERIKALI YETU ukiangalia yeye kama mmoja ya watu muhimu serikalini..........mm ninafikiri ifike muda mawaziri wasipewe haki ya kumiliki taasisi kubwakubwa maana inaonekana nyingi ya hizo kampuni ni mali za watanzania maskini