Uteuzi wa Dr. Hussein Mwinyi Wizara ya Afya Umezingatia Masuala ya Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa Dr. Hussein Mwinyi Wizara ya Afya Umezingatia Masuala ya Muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, May 4, 2012.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  ..when will JK be serious??

  ..kwanini anafanya kazi kwa mizaha-mizaha na kulipua-lipua kiasi hiki?

  ..what is so difficult kutenganisha wizara za muungano, na wizara zisizo za muungano, na kuteua mawaziri kuzingatia katiba??

  ..Raisi has just appointed Dr.Hussein Ali Hassan Mwiyi, mbuge wa kwahani Zanzibar, kuwa Waziri wa Afya, wakati inaeleweka kwamba afya si suala la muungano!!
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh! Hapa kazi ipo! Je Katiba inasemaje?
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu ni Mtanzania.
   
 4. m

  mzaire JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si unajua hakuna muungano tena kaka au......???
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi, katika mambo 22 ya Muungano, Afya haipo.
  1. Sasa iweje leo Hussein Mwinyi, Mbunge wa Kwahani, Zanzibar awe waziri wa Afya, inayohusika na mambo ya Tanganyika tu?
  2. Huyu Mwinyi alipata kuwa naibu waziri wkt wa Anna Abdalah Wizara ya Afya, ikatokea migomo miwili enzi za kina Dr Kigwangwala na Dr Ulimboka, na hakuweza kufanya la maana kuizuia na kuitatua.
  Ana lipi jipya?
  3. Amekuwa waziri wa ulinzi, na mabomu yamelipuka mara mbili, hakuwajibika, japo watu walikufa.
  Si anaweza kuendeleza shingo gumu km gumegume madaktari watakapoona wamekosewa haki?
  4. Kateuliwa kwa vile ni daktari tu, japo hakufanya Internship nchini?!
   
 6. k

  kisinzi Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni huyu huyu ndo aliondoa tittle ya specialist (daktari bingwa) kwa kuwa yeye hana hiyo title. Wenzake wameirudisha, Si ajabu atajaribu kuondoa tena.Hana jipya zaidi ya chuki dhidi ya madaktari wenzake walio juu yake!
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  ..moderators wanajaribu kuificha kila post inayohoji uteuzi wa Dr.Mwinyi.
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  swali la kujiuliza ni raia wa nchi gani..??!! kama Tanzania why not! ? angekuwa mnyarwanda ungehoji,....

  JK hawezi akakurupuka tu!... hongera Dr. H. mwinyi
   
 9. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waifiche na hii. Huenda wana maslahi nae, huyu Dr Mtaalam wa milipuko(Mbagala na Gongolamboto)
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ameteuliwa kwa sababu ya "Utanzania" wake na si kwa sababu ya "Uzanzibari" wake! Usisahau kuwa Wazanzibari WOTE ni Watanzania, lakini Watanzania WOTE si Wazanzibari! Hilo la kujiuzulu ni discretional, si LAZIMA!
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Si kweli!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wizara aliyopewa inaendana na taaluma yake, ila hiyo ya u kwahani na u tanganyika sidhani kama ndo wakati wake, so long bado tupo kwenye muungano. Nahodha anatokea kule lakini waziri pia
   
 13. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Afya si jambo la Muungano.
  Kuna mtanganyika yeyote anaongoza wizara ya mambo ya zenj tu?
  Kwanini walitenga mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano?
  Umesisikia mtu anamlalamikia Nahodha kuwepo ulinzi au Samia kuwepo Mambo ya Muungano?
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  tolea maelezo mkuu, kusema si kweli haitoshi kuwa jibu.
   
 15. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  AND This isn't good at all!!!
   
 16. 4

  4change JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  i dont understand this..kwamba wizara inayohusika na mambo ya tanganyika peke yake anapewa mtu ambaye ni mbunge wa jimbo la huko zenji!!ni sawa au si sawa?je rais kakosea?kavunja sheria?(all in all his history in this ministry as deputy and in the ministry of defence doesnt give us much hope...
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,144
  Trophy Points: 280
  ..JK anafikiri atawapoza Mashekhe wa UAMSHO kwa kutoa upendeleo kwa wa-zanzibari.
   
 18. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Pia kuna taarifa zinasema kuwa huyu Dr. Mwinyi alifeli masomo yake hapo Muhimbili akiwa mwaka wa nne, akapelekwa nje ya nchi kumalizia masomo. Leo ndio anawaongoza wale waliomzidi uwezo!. Kaazi kweli
   
 19. IzeGREAT

  IzeGREAT Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hii ndo nchi yetu Mkuu,kama huna chuki binafsi,mtu unayejitambua,oriented,creative and qualified in ur field,huna jungu wala kujipendekeza...etc and ol of ze gud staffs zat a human can hav,KAMWE HUWEZI PEWA NAFASI YOYOTE YA MAANA ZAIDI YA KUFUKIWA NA KUDIDIMIZWA,we mtu anadiriki kufuta SPECIALIST wakati ki2ni worldwide kinatambulika!!!!
   
 20. B

  BGG Senior Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wizara ya afya inahitaji mtu ambaye ana maono, enterprising na ana uwigo mpana wa jinsi sekta inavyofanya kazi kuanzia chini ngazi ya zahanati.sioni energism ndani ya dr mwinyi kuleta revolution katika sekta hii
   
Loading...