Muda wa mabadiliko kwa Mpwapwa na DODOMA nzima umefika


L

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
63
Points
70
Age
25
L

lerai

Member
Joined Oct 6, 2012
63 70
Napenda kusema hivi kwa kua muda wa CCM wabunge wake na madiwani wake umefika kwani kwa Mpwapwa ikiwa ndio mahali au sehemu ya mwanzo wa ukombozi huo kwani kwenye wilaya hii kuna mawaziri wawili lakini maendeleo sifuri barabara kutoka wilayani kwenda mkoani haipitiki kipindi cha mvua maji tabu lakini kuna mawaziri na kuna watu wana jiita wana CCM.

Mawaziri wetu na wabunge wetu wa mpwapwa mjini na kibakwe muda wa nyie kuenda bungeni una tosha malizieni miaka yenu miwili iliyo baki alafu sisi tuta tafuta mwakilishi mpiya na hatatoka ccm atatoka chama kingine tutacho kijua sisi nasasa ivi hatutadanganyika na majina wala tishet zenu na kofia zenu na ishia hapa lakini nita weka ahadi zenu na utekelezaji wake mwisho wa wiki muone ndugu zetu kwasababu gani tuna sema CCM basi!
 
S

swaswa

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
236
Points
225
S

swaswa

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
236 225
ni kweli kabisa Dodoma inahitaji ukombozi wabunge wote wa mkoa wa dodoma ni kama vivuli. 2015 piga chini wote
 
C

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
484
Points
195
C

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
484 195
LERAI; Una hoja lakin hasira zimekuzid kidogo, inaonekana ulikwama mahal (usafir) mana nasikia mvua imenyesha huko.

Tuliza hasira, tupe picha kamil, nin shida? Miundombinu ipo vp? Ahad zao zilikuwa zip 2010?
Simbachawene yupo huko au anakula kuku Dar?
Tusisubir 2015 ndo 2fanye mabadiliko, yaanze sasa kwa kuwaambia ukwel waliolala, kama hao.
 
L

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
63
Points
70
Age
25
L

lerai

Member
Joined Oct 6, 2012
63 70
wana anza na maneno mazuri kila wakija kwa kampeni lakini tukiwapa kazi yakutu wakilisha wana wakilisha matumbo yao sasa tuna watangazia njaa wote tekelezeni ahadi zenu tuwafikilie
 
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Messages
7,160
Points
0
Barubaru

Barubaru

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2009
7,160 0
Kusema na kutekeleza ni vitu viwili tofauti sana.

Haya tusubiri 2015 kuona ukweli/uongo wa kauli zako.
 
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
5,296
Points
0
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
5,296 0
Nyie mumeamua wenyewe tembe mpaka siku ya kiama maeneo ambayo CCM inaburutwa kila cha muhimu kimeangaliwa hospitali za rufaa ,maji bwelebwelele,angalau barabara kila wilaya za rami nk sasa mukija kwenye mitandao badala ya kugonga kwenye vichwa vya wagogo wajitambue imekula kwenu
 
obm

obm

Member
Joined
Aug 4, 2011
Messages
67
Points
70
obm

obm

Member
Joined Aug 4, 2011
67 70
Lerai, inasikitisha ni mawaziri kwenye sekta nyeti sana lakini huduma mbovu ajavu mpwapwa, kibakwe, mzakwe na kongwa ndio balaa pamoja na kuwa wanaye mheshimiwa sana naibu wa mama. Kazi kweli kweli dawa ni wananchi waamke wafanye maamuzi sahih ya kuwa na watu stahiki, haw walevi wa pombe , wanawake na madaraka hawatufai
 
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
908
Points
225
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
908 225
Kweli kaka,barabara kutoka m'bande mpaka mpwapwa ni mbovu haifai,sasa huko kijijini ambako ni kwa Simba chawene ndo hatari,kunaitwa Kizi na Mbuga,huko bila gari za mizigo(fuso) huendi,mnatumia masaa 7 hadi 8 kufika wakati nisehemu ya kufika kwa masaa mawili au matatu,na ukifika usitegemee kupigiwa wala kupiga cm,hakuna mtandao,hospitali mpaka Lumuma au mpwapwa,maji ndo duu!
 
MJENGA

MJENGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Messages
667
Points
500
MJENGA

MJENGA

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2012
667 500
Wewe si Lerai Laundry and dry cleaners, jiandae kufilisiwa na TRA si unajifanya mjanja endelea.
 
L

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
63
Points
70
Age
25
L

lerai

Member
Joined Oct 6, 2012
63 70
Wewe si Lerai Laundry and dry cleaners, jiandae kufilisiwa na TRA si unajifanya mjanja endelea.
mimi ndie jua ukweli huji tenga na uongo nakama nina jambo nime tete au kuliandika lina lo husu kazi yangu au shuhuri zangu au kulipa kodi kwa TRA LITAJE NA USIPO WEZA NITA ENDELEA KUSEMA NA KUNENA UKWELI DAIMA
 
K

kimwelage

Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
56
Points
95
K

kimwelage

Member
Joined Oct 13, 2012
56 95
acheni majungu,leo hii unaweza toka mpwapwa mpaka ruaha mbuyuni,
 
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
2,873
Points
1,500
Age
38
Imany John

Imany John

Verified Member
Joined Jul 30, 2011
2,873 1,500
mimi ndie jua ukweli huji tenga na uongo nakama nina jambo nime tete au kuliandika lina lo husu kazi yangu au shuhuri zangu au kulipa kodi kwa TRA LITAJE NA USIPO WEZA NITA ENDELEA KUSEMA NA KUNENA UKWELI DAIMA
hahahaha wanataka kukuchafua makusudi?
 
C

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
710
Points
500
C

chamakh

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
710 500
mabadiliko ya haraka yanatakiwa ila kwa akiliza wale watu sidhani, bado sana kuelewa yanayoendelea duniani
 

Forum statistics

Threads 1,285,555
Members 494,670
Posts 30,866,692
Top