Ufisadi sekta utalii: Kagasheki wayajua haya!?

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Messages
2,733
Points
0

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2007
2,733 0
Mafisadi wa sector ya uwindaji hawa hapa.

Pamoja na kupata vitalu vyote hivi bado wanaendelea kuisumbua serikali na waziri et wameonewa kwenye ugawaji mpya uliofanyika. Angalia hapa chini jinsi watu 4 walivyojimilikisha vitalu hapa Tanzania

Industry Monopolies:

Jina na Kampuni anazoamiliki.

Sheni:
 • Game Frontiers
 • Royal Frontiers
 • Northern Hunting
 • Western Frontiers

Total of 15 Blocks Acquired

Pasanisi:
 • Gerald Pasanisi Safaris
 • Tanzania Wildlife Safaris
 • Barlette Safaris
 • Fereck Safaris

Total of 14 Blocks Acquired

Mawalla:
 • Tanzania Game Trackers
 • Wengert Windrose
 • Tanzania Wildlife Company
 • Tandala Hunting Safaris

Total of 14 Blocks Acquired

Harpreet:
 • Rungwa Safaris
 • Bundu Safaris
 • Kiboko Safaris
 • Miombo Safaris

Total of 16 blocks Acquired

Grand Total of approximately 60 hunting blocks in the hands of four people.

Wote ni vigogo wa TAHOA (TANZANIA HUNTING OPERATORS ASSOCIATION)Hiki ndicho chama kilichotumika kujimilikisha vitalu vingi bila huruma kwa kampuni zingine na bado wanaisumbua serikali.

Je, ni chama chenye kujali maendeleo kwa wote?

Na sio kwamba wana uwezo navyo ila ni mawakala wa matajiri wa nje.

Bright Tours na Raoul Ramoni wote pia wamo humu wakibebana kuhujumuraslimali za Taifa kwa ajili ya manufaa kwa wachache wasio Watanzania.

Sio tu wana vitalu, ila vitalu vyao ni vinono na bado wanataka kudhalilishawanyonge na kumdharau Waziri na kuitumbukiza serikali katika matatizo na mgogoro.
 

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Points
1,500

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 1,500
Kagasheki bado kwanza anagombana na Meya wake wa Manispaa ya Bukoba kupitia CCM katika kuendeleza minyukano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu 2015. Haya mambo mengine ya serikali na maliasili siyo kipaumbele kwa sasa.
 

swrc

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
442
Points
0

swrc

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
442 0
ungeifanyia summary ili iweze kueleweka vizuri, hapo ipo shaghala banghala. Hicho kitengo kimeshapata mtaalam ambaye ni Prof. na yuko makini nadhani ungeifoward idarani,
 

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,244
Points
1,500

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,244 1,500
AAH HUJUI KUWA KAGASHEKI MKWARA ULE ILIKUWA NI NGUVU YA SODA? KAWA FARA SKUIZI, UONI JANGILI KINANA UYO JIRANI YAKE ANAUA TEMBO NA FARU KADRI ANAVOJISKIA NA HACHUKULIWI HATUA? WAZUNGU WANASEMA IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM, ATAKUWA NAE ANAJIULIA TEMBO NA FARU TARATIBu NA KUUNGANISHA MZIGO NA KINANA KT MELI YAKE
 

Forum statistics

Threads 1,392,964
Members 528,761
Posts 34,123,656
Top