Ni maabunuwasi ambao siku ya uhuru wa waandishi,wa naitwa na kupewa wali na mchuzi na MCT, halafu wanaitiwa waajiri wao ambao hawajawalipa miezi mitatu na, kuwahubiria juu ya uhuru wao, halafu wanawapa awars hao waajiri waliowakop miezi na miezi, na kuwapigia makofi, hutasikia hata siku moja wakiulizia mafao yao. Wanataka kusema nini leo hii? They are not 'men' enough acha waliwe, ndio maana hata huko press rooms wanageuzwa kama mishikaki, eti a group managing editor anabadilishwa kazi kuwa business manager, na bado anasema 'thank you sir' I am yours faithfully, kesho kutwa watapewa u manager wa kuosha vyoo, bado watasema thank you sir, hata wakipewa hizo NSSF hawana akili za ku invest, tunawaona wakitoka press rooms, vishati wanavyovaa, vigari walivyohongwa vikichakaa, viatu vikijaa vumbi, visuriali vilivyopauka vikiwaganda mwilini, huku wakiwatafuta mabosi wao bila mafanikio. Wamekula najisi kwa kuwatosa watanzania, watakula mavi